Sakata la madawa ya kulevya: Serikali inaweza kujikuta inalipa watu fidia za mamilioni au mabilioni

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,694
149,917
Kama serikali ilivyotakiwa kulipa mabilioni ya fidia kwenye sakata la samaki wa Magufuli,hivyo ndivyo serikali inaweza pia kujikuta tena inatakiwa kuwalipa watu fidia za mamilioni ya hela kama sio mabilioni katika hili sakata la Madawa ya kulevya.

Sitashangaa pia kusikia mh.fulani akitakiwa kuwaomba radhi hadharani watu fulani.

Zoezi hili linaweza kuwa zuri lakini linaweza kuharibika kwa kuchanganya mayai ya kuku,bata na kanga kwenye kapu moja(approach iliyotumika sidhani kama ilikuwa ni sahihi).

Unaweza kuvuma ghafla lakini pia unaweza kushuka ghafla tena kwa aibu.

Wangeitwa kimya kimya huenda ingesaidia kuepusha haya yote.

Soon maneno ya Nape yanaweza kuanza kurejewa na watu wengi.

Tusubiri muda ndio utaongea.
 
wasioelewa ndio wana ona hili haliwezekani ila hapa wasifikiri itashtakiwa jamuhuri ya muunga, bali atashtakiwa makonda, sheria ina weledi wake ndio maana polisi wamewaachia watuhumiwa wote kwa dhamana ya MAANDISHI YA MILIONI KUMI..

kichekesho halafu wakawe watoto wazuri, hapa zigo kaangushiwa makonda na hili la fidia makonda linaweza kumpoteza mazima akaja kuita waandishi wa habari na kuomba msamaha kama yule jamaa aliemuomba msamaha Nchimbi kwa ujinga kama huu wa kutangaza hisia zako.
 
Back
Top Bottom