Sakata la Lwakatare: Wanasheria CHADEMA walonga


Mawani yangu yameposuka, hebu mtu asome hapo kwenye bold!
 
Clouds redio waliorusha ya kwenye you tube watakuwa matatani mara baada ya hii ya polisi kuwekwa hadharani , wajiandae kumlipa Lwakatare fidia kutokana na kumdhalilisha mbele ya umma .
Clouds wanalazimisha kujitumikisha...siyo tatizo. Lakini wajitahidi kuwa smart!

Wakipatikana safari hii wasiachiwe, ili siku nyingine washike adabu kutorukia mambo kichwa kichwa.
 
Hongera sana Mh Lissu na team yako. Wanayofanya magamba ni aibu kwa taifa. Ila lengo lao nikupotezea maandamano ya cdm na matokeo feki ya tume ya uchunguzi kushindwa wanafunzi kidato cha 4. Kudhoofisha chama kwa matakwa yao ya kifisadi. Hawana lengo zuri na Tzn, to put it in short.
 
CHADEMA kupitia mgongo wa wanasheria wanaomba huruma ya wananchi, tambueni sheria ni msumeno; Lwakatare karikoroga ni wajibu wake kulinywa
 
Hivi unaamini kuwa bunge ni mhimili unaojitegemea? Wote bunge na mahakama wanaendeshwa remotely toka magogoni.
Bunge la MAKINDA ndo lina issue ila zama za SITTA huwezi leta hoja zako za kipuuzi puuzi ndo maana wakampiga chini ata PM wa kale EL.
Makinda amewekwa so lazima atekeleze matakwa ya waliomuweka which means yeye kama yeye iyo nafasi hakustairi nia kwa hisani tuu
 
Ndo zao ' uchunguzi unaendelea'. Wakijua watzn wengi wanasahau haraka.
 


Ni kwa nini huyo Mwiglu Nchemba naye hakamatwi akahojiwa?
 
hii serekali imekaa kijoti joti,ukiangalia na ile kesi ya Lema ya ubunge utugundua dhuluma ni nyingi sana!

Haya kayasema Lissu au ni wewe mkuu, ni vema katika kutoa habari kama hizi za reporting ukatanguliza jina la mtoa habari
 
The more hii issue inakuwa tamu the more Kikwete na CCM wanaaibika na kuzidi kupotea kwenye ramani ya utendaji wa haki.

Imenifanya nizidi ku support CHADEMA maana kuishi kwenye nchi ambayo utawala wa sheria unakandamizwa ni hatua ya juu kabisa ya udikteta. Ni matumaini yangu siku CDM wakiingia madarakani hapo 2015 watarudisha heshima ya mahakama kama chombo kikuu cha kutenda haki
 
Mimi naomba ufafanuzi, juzi tu ndiyo nimejua kwamba DPP ni mtu mkubwa sana nchi hii, yaani anaweza kukuweka ndani kwa muda anaotaka yeye au kukutoa lupango muda anaoona unafaa na huwezi kuhoji/ kulalamika/ kushitaki popote pale ndani ya nchi hii. sasa maswali kidogo tu ndugu zangu

je huyu DPP anachaguliwa na nani kwa manufaa gani?

a) Kigezo cha kumpata DPP - hii kazi inaombwaje ombwaje?
b) Kazi zote za DPP zinaratibiwa na nani?
c) Anariport kwa nani in darily basis?
 
Sasa naona watu wanaanza kufunguka. Kweli mwisho wa ubaya ni Aibu. Kumbe Lodovick alikuwa ni kibaraka aliyenunuliwa na CCM? Nijuzeni mie!!!
 
Tundu Lissu siku ile alijidhalilisha sana pale mahakamani mpaka akachekwa na umati wa watu!!!

Anamzidi Madelu Mkumbo aliyeiba jina la Mwigulu? Au Nahum aliyeiba jina la Nape. Ccm mmebanwa. Unahemea masaburi
 
CHADEMA kupitia mgongo wa wanasheria wanaomba huruma ya wananchi, tambueni sheria ni msumeno; Lwakatare karikoroga ni wajibu wake kulinywa
mtawawaibisha mapolice na mahakimu bure!! kama mlivyofanya ile kesi ya Lema, yule hakimu anaelewa sheria ila anapidisha ili afuate maagizo ya Mary Chitanda -- ha ha ha

Ningekuwa mimi hakimu siwezi kupidisha taaluma yangu bora niache kazi nikalime mchicha
 
Kwa ushahidi huo hapo juu kwenye main post, huyu naye anastahili kuhojiwa. Anaonekana ni mmoja kati ya watu walioufahamu vizuri mchezo uliokuwa unachezwa. Na hapa akamtaja mtu kwa madai amesikia sauti yake kwenye video. Hii inapatikana hapa:

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...apa-lwakatare-alikuwa-anamaanisha-nini-4.html

Hii ni posti namba 77:
Nasikia sauti ya jamaa mmoja wa chadema anaitwa ludovik akiitikia na kutoa maelezo kwa boss wake mratibu na mtendaji bwana rwakataremmh kweli hii ngoma nzito kwa chadema sijui watatokea wapi

Na hii ni posti namba 87:

Posti namba 91 anataka ziwekwe video zote. Anazijua?
Weka zote mkuu hali ya kiusalama ya nchi ni tete lasivyo watatumaliza hawa jamaa
 
"Kiongozi anayetafuta urais kwa kutumia vyombo vya habari, akipata madaraka ataongoza kwa risasi" By. Frederick Sumaye (Retired PM), 2005.
 
Hili tunasema kwa kiinglish kuwa ni CCM sysmatic calculated mission na haitaishia kwa Lwakatale tu ni vema Chadema wakajiandaa kwa mengi zaidi.
 
Sasa picha limepata stelingi linaanza na picha za unafiki litaishia na picha za aibu.
 
CCM WAACHANE NA HIZI MBINU CHAFU KWA CDM.KILA SIKU STARTEGY ZAO ZINADUNDA.
WAGEUKIE MBINU ZA KUWALETEA WANANCHI MAENDELEO, that is the only strategy.
wakishindwa na hiyo wakabidhi dola kwa amani kujilinda heshima yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…