King Zenji
Senior Member
- Feb 18, 2008
- 178
- 18
Mbona wanasheria hawasemi ile video ni fake?
Kama ule mkanda nk genuine basi huo ni ugaidi.
Walaniwe watawala wanaotumia madaraka kunyanyasa watu!
sina imani kama kweli kwa hali ya Tz mahakamani ni sehemu ya kupatia haki kwa mwenendo wa mambo sasa yanavyokwenda kisiasa, yani kila kitu ni siasa
Tundu Lissu siku ile alijidhalilisha sana pale mahakamani mpaka akachekwa na umati wa watu!!!
Mbona wanasheria hawasemi ile video ni fake?
Kama ule mkanda nk genuine basi huo ni ugaidi.
Ha ha haaa...hivi hata kama ina UKWELI wowote clip ile iso na mwanzo wala mwisho..muhusika mkuu (LWAKATARE)..akisema nilikua natengeneza MOVIE flan hivi..na ile ni sehem tu ya SCRIPT ya movie husika ....mtamfanya nn???,,,manake haonekan muhusika mwingine yeyote zaid ya yule dada (sijui muhudumu yule???) anaepita pale...hii kesi haina MASHIKO zaidi ya kujaribu KUUKOMOA upande wa pili.
Mbona wanasheria hawasemi ile video ni fake?
Kama ule mkanda nk genuine basi huo ni ugaidi.
Alijidhalilisha au alidhalilishwa dont be too myopic in understanding issues,DPP ndo kajidhalilisha kwa kufta kesi.
Tundu Lissu siku ile alijidhalilisha sana pale mahakamani mpaka akachekwa na umati wa watu!!!
Mkuu hawam iq 7 wala usijibizane nao. Hawajui kilichoko mbele yao futi 2 na wala nyuma yao. Ukweli ni kwamba hii kesi haina nguvu yoyote, ila wanataka kufanya propaganda za kijinga na mbaya zaidi hata hizo propoganda hawajui wazifanyaje. Kina ZeMaproco na waganga njaa wenzake chini ya uratibu wa vilaza wa CCM na serikali yao iliyooza.
watu wote waseme aminaHaswaa alaniwe jk kwa kutokemea maovu yote anayoyatolea mimacho bila kuyakemea.
Wanatafuta huruma ya wananchi kupitia wanahabari hakuna jipya hapo.
Hivi unaamini kuwa bunge ni mhimili unaojitegemea? Wote bunge na mahakama wanaendeshwa remotely toka magogoni.Sidhani kama mahakama ni mhimili unaojitegemea kama bunge na executive!
Katiba mpya kuna haja ya kuyafanyia kazi haya mapungufu.
Maana mahakama inaendeshwa kama gari bovu!
Wahalifu kama huyu DPP nao wanastahili mafao ya kustaafu, au wastahili kupelekwa jela baada ya ukombozi!