2. Wameiomba kama itakubali ifute ile hati ya DPP ya kufuta mashitaka, na ifute amri ya mahakama ya kufuta kesi iliyofanyika jana ,
Kwa hawa wanasheria wa CHADEMA, hapo lazima ataaibika mtu.Anaelezea Lissu , juu ya mwenendo wa kesi ulivyoanza mahakamani , na ili kesi ya ugaidi iweze kufunguliwa ni lazima kuwa na ridhaa ya mkurugenzi wa mashitaka nchini , na ameonyesha kipande cha karatasi husika ambacho kina saini bila nembo ya serikali wala muhuri wa moto .
Wahalifu kama huyu DPP nao wanastahili mafao ya kustaafu, au wastahili kupelekwa jela baada ya ukombozi!
Ukweli daima utasimama mwisho wa siku, kama serikali kwa makusudi kabisa wanaamua kutumia pesa za walipa kodi masikini wa Tanzania kwa kufungua kesi za kutunga kwa malengo ya kuiondoa Chadema kwenye ramani ya kisiasa, hakika watafutika wao, maana malipo ya dhambi wanayoitenda sasa ni makubwa sana na hawatakaa waisahau milele.
Tusubiri tuone, kwanza wameonesha ambavyo wasivyo makini kupitia wanasheria wao, hivyo mwisho wa siku huku kudharisha wanakofanikisha kwa Lwakatare as individual person na Chadema kwa kiwango fulani kwao itakuwa disearter very soon, tusubiri yetu macho, acha wanasheria watifuane na tuombe mahakama isimamie haki.
Mbona wanasheria hawasemi ile video ni fake?
Kama ule mkanda nk genuine basi huo ni ugaidi.
Kwani Lwakatare ni muislam hadi awe gaidi?Mbona wanasheria hawasemi ile video ni fake?Kama ule mkanda nk genuine basi huo ni ugaidi.
Mkuu EMT, hiyo kitu naona uko nayo tangu jana. Ni nini hiyo?Ni kifungu gani kitatumika na mahakama kufuta nolle prosequi?
Sidhani kama mahakama ina mamlaka ya kufuta nolle prosequi.
The power to enter nolle prosequi is not subject to any control by the courts.
Huko ilikuwa bado haijafikia wakafyata mkia na kuifuta kesi haraka haraka.Mbona wanasheria hawasemi ile video ni fake?
Kama ule mkanda nk genuine basi huo ni ugaidi.
Ni kifungu gani kitatumika na mahakama kufuta nolle prosequi?
Sidhani kama mahakama ina mamlaka ya kufuta nolle prosequi.
The power to enter nolle prosequi is not subject to any control by the courts.
Tundu Lissu siku ile alijidhalilisha sana pale mahakamani mpaka akachekwa na umati wa watu!!!
Amezungumzia hukumu iliyowahi kutolewa na mahakama ya rufaa juu ya matumizi ya Nolle na mamlaka ya mahakama kukataa matumizi ya Nolle .....ngoja nifuatilie ntakujibu vizuri zaidi
Amezungumzia hukumu iliyowahi kutolewa na mahakama ya rufaa juu ya matumizi ya Nolle na mamlaka ya mahakama kukataa matumizi ya Nolle .....ngoja nifuatilie ntakujibu vizuri zaidi
Mahakama jana ilizuiliwa kutoa haki, wakati ndio chombo pekee cha kutoa haki nchini....