Ulukolokwitanga
JF-Expert Member
- Sep 18, 2010
- 8,397
- 7,979
Tundu Lissu siku ile alijidhalilisha sana pale mahakamani mpaka akachekwa na umati wa watu!!!
Elezea mkuu. Alijidhalilisha kivipi?Tundu Lissu siku ile alijidhalilisha sana pale mahakamani mpaka akachekwa na umati wa watu!!!
Mawakili wa
Lwakatare, Tundu Lissu, Mabere Marando, Prof.Safari, Peter Kibatala na
Nyaronyo Kicheere.
Kwa jopo letu la mawakili tumejiridhisha kuwa hakuna kesi ya kujibu ,
hii ni kutokana na hati ya mashitaka ambayo iliwasilishwa mahakamani.
Sasa maswali.
Tundu Lissu siku ile alijidhalilisha sana pale mahakamani mpaka akachekwa na umati wa watu!!!
Nadhani waliamua kumuandaa hakimu wao. maana naye ni kama alikuwa standby akiwasubiri nadhani aliambiwa "tutawaleta kwako uwe tayari" na inaonekana kama vile walishamueleza asiruhusu hoja yeyote kutolewa na mawakili wa RwakatareMahakama jana ilizuiliwa kutoa haki, wakati ndio chombo pekee cha kutoa haki nchini....
Kwahiyo? Ikawaje,Tundu Lissu siku ile alijidhalilisha sana pale mahakamani mpaka akachekwa na umati wa watu!!!
Hiyo si ndio kesi yenyewe wanayoisubiri? - waulize waiofuta mashitaka maana wenye hamu kama ninyi wamewakosesha uhondo wa kujua kama ile video ni fake au genuine. Tumlaani DPP kutucheleweshea kujua hilo!Mbona wanasheria hawasemi ile video ni fake?
Kama ule mkanda nk genuine basi huo ni ugaidi.
Tundu Lissu siku ile alijidhalilisha sana pale mahakamani mpaka akachekwa na umati wa watu!!!
Tundu Lissu siku ile alijidhalilisha sana pale mahakamani mpaka akachekwa na umati wa watu!!!
Yule hakimu aliyekuwa atoe hukumu alikuwa hajawasiliana na Zoka. DPP akajawa hofu akamuwahi kabla ya hukumu. inaonekana yule waliyempelekea kesi walishamuandaa na kumpa mwongozoKwanini amefuta mashitaka na kuyafungua yale yale....alifanya hivyo kwa lengo la kuizuia mahakama kutoa uamuzi, amefanya hivyo na kitendo hiki ni kuingilia uhuru wa mahakama ....ndicho tunakilalamikia
Tundu Lissu siku ile alijidhalilisha sana pale mahakamani mpaka akachekwa na umati wa watu!!!