Sakata la Loliondo lamvuruga Kikwete

Sakata la Loliondo lamvuruga Kikwete

ZeMakopo, Ritz, Chilisosi(christina mkosi) utaifa1st na ndugu zenu woote wa kukesha jamvini nawaomba hapa mtupe taarifa kamili kuhusu hatma ya ardhi na wananchi wa Loliondo. Muarabu achukue Loliondo au mnarudisha hela ya Muarabu muwape wananchi Ardhi yao?
 
Mahanjam,
Inaonekana wewe unajua zaidi katika saga hili. Tueleze basi kampuni zilizomilikishwa ardhi ya uwindaji wa kitalii mbali na Ortello
Ninacho fahamu ni kwamba ortello wana consession na si titledeed. And the same applies to all hunting companies Ortello is no exception.
 
Jakaya na CCM kwa ujumla wamethamini vipande vya fedha na kupuuza ubinadamu kwa kutaka kuwafuta kwenye ramani ya dunia jamii hii ya wamaasai ambao wanaimiliki ardhi hii tangu mwanzo wa dunia.
Uchu wa fadhila na uozo wa IKULU unadiriki kuwatoa kafara maelfu ya wamaasai na kumtukuza kaburu kwa kutumia sheria ya ardhi yenye majeraha ya mkoloni.
Watanzania tuamke wakati ndo huu wa kupambana na viongozi wetu wenye roho za kishetani.

'I Stand With Maasai'

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
A grant of a tract of land by the government to be used for a specific business/ service i.e hunting e.t.c

Thanks for this info. I have a follow up question. How does Tanzania benefit by granting this hunting land to this Arab Cheikh and his co-horts?
 
Thanks for this info. I have a follow up question. How does Tanzania benefit by granting this hunting land to this Arab Cheikh and his co-horts?

I believe you have ample time and are very able to do a proper and unbiased research. Stop asking childish questions. As I have said before lgca is a hunting block among the many blocks in this country. Are you familiar with tourism? Tourism benefits are well documented worldwide.
 
I believe you have ample time and are very able to do a proper and unbiased research. Stop asking childish questions. As I have said before lgca is a hunting block among the many blocks in this country. Are you familiar with tourism? Tourism benefits are well documented worldwide.
Mahanjam,
My teacher once told me that no question is silly or childish. I asked because I wanted to know and because you seem to be knowledgeable in this matter than the regular Tom and Dick. Sorry if I bothered you.
 
*Sakata la mgogoro unaorindima kwa sasa kuhusu unyang'anywaji wa Ardhi ya Loliondo kwa lengo la kumpa mwekezaji wa kiarabu umemvuruga sana Rais Kikwete na kusita kujitokeza hadharani kulitolea kauli.

*Hapo awali Kupitia kikao cha baraza la mawaziri iliamriwa kuwa WAKAZI WA LOLIONDO WANYANG'ANYWE ENEO HILO na kumtuma Waziri wa Maliasili na Utalii Hamisi Kagasheki kwenda kulisimamia kwa nguvu zote, lakini Kauli ya hivi karibuni iliyotolewa rasmi na CCM kupitia kwa Naibu katibu mkuu wake Mwigulu Nchemba ambaye alitumwa na Secretariety ya CCM akiwa kama mjumbe mkuu wa kamati maalum aliyotumwa kwenda Loliondo kujaribu kutafuta suluhu kwa njia za Kisiasa ya kuwa 'WANANCHI WA LOLIONDO WANA HAKI NA ARDHI YAO NA WAZIRI KAGASHEKI ALIKOSEA KATIKA MAAMUZI YAKE YA KUTAKA KUWANYANG'ANYA ENEO HILO' imemchanganya zaidi rais Kikwete kwa kuwa yeye pia ni mwenyekiti wa CCM na hata mtu aliyewahi kutoa Kibali(Kimakosa?) cha kisheria cha umiliki wa Ardhi hiyo wa wakazi wa Loliondo alikuwa pia waziri wake!!

*Habari za ndani kabisa zinasema kuwa, Rais alikuwa tayari ameamua kumtuma Waziri mkuu Pinda kwenda Loliondo ama kupitia Bunge Kutoa Kauli juu Mgogoro wa Loliondo lakini dakika za mwisho mwisho Pinda alizuiwa(Alikataa?) kufanya jambo lolote maana ingechafua Upepo wote, badala yake Alitumwa Kagasheki aendelee kufa nalo huku Serikali ikipima upepo!!
M4C watakapofika huko kazi nyepesiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom