ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,690
Watu wa namna hii ndio mlikuwa mnataka wapewe nchi? Jaribuni kuwa serious sometimes...
Swala la Mwanamke kua katika changamoto za Uzazi sio la kupuuza wala kubeza.Wapinzani wamekuwa wakilalamika na kuona wanaonewa katika kila jambo linalotokea kwao. Inawezekana ni kweli mke wake alikuwa na changamoto, je ni mwanamke huyo tu mwenye changamoto za uzazi? Hivi kama kila mwanaume ataamua kukaa nyumbani kulea mimba ya mke wake kwa miezi tisa kazi zitafanyika kweli? Wakati mwingine tuwe serious bhana, Joshua hapa amechemka.
Japo naona baadhi ya viongozi wake wamejaribu kukubeba na kukutetea, lakini kiuhalisia kukutetea kwenye hili inabidi uwe umekunywa gongo kidogo. Lissu nae ameamua hadi kutoa ujumbe wa uongo kwamba Nassari alimpigia kuomba ushauri na akamwambia vikao vya Novemba alikuwepo lakini kwenye press umesema Novemba ni kweli hakuwepo. JE,
1. Ni kwa nini alikataa kuulizwa maswali na waandishi wa habari ambao amewaita yeye mwenyewe?
2. Ni kwamba viongozi wake wanakurupuka hasa Lissu?
3. Ameona ni njia bora ya kuhama chama bila kuzomewa na kuitwa msaliti?
4. Viongozi wake wamewahi kumuonya juu ya utoro wake Bungeni?
5. Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni kupitia kwa mnadhimu hawakuwa na taarifa juu ya dharura alizokuwa nazo Mbunge wao?
6. Barua anayodai ametuma kwa Spika, kwa nini haikupita kwenye ofisi ya Kambi rasmi ya Upinzani?
You too Comrade,be seriousWatu wa namna hii ndio mlikuwa mnataka wapewe nchi? Jaribuni kuwa serious sometimes...
Unamuonea tu, Lisu naye aliambiwa kama wewe na mimi. Ndio maana bado maelezo ya Nassary hayajajitosheleza.Lisu ni mpenda sifa, kila sehemu ye anataka aonekane. Nilisoma andiko lake kumtetea Nasari, lilijaa pumba tupu sema kwakua ana wafuasi mazombie walishangilia sana.Leo Nasari kamkana kuonesha lisu ni mkurupukaji na aliwalisha pumba mifugo wake.
The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Msikilizeni tena Joshua halafu msikurupuke kukoment hovyo. Joshua anasema hivi, katika hiyo mikutano mitatu ambayoSpika anasema hajahudhuria, Joshua amehudhuria mmoja na kulipwa posho na bank statement Ana yo Yeye ushahidi. Spika alimlipaje posho mtu asiyehudhuria kikao? Kwa hiyo kama tunasemea katiba inayotaka mikutano mitatu, basi haimhusu Joshua Maana Yeye mikutano mkutani mmoja alihudhuria na kulipwa. Mmoja hakuhudhuria kabisa na mwingine ndio hiyo barua.Kinachozungumzwa ni ukwel mtupu embu tuone ikutano ya Bunge kwa mwaka..
Bunge limeundwa na vipindi viitwavyo Mikutano. Mkutano wa Bunge ni mfululizo wa vikao vya Bunge, kuanzia kikao cha kwanza hadi cha mwisho. Kuna Mikutano 20 katika Bunge moja.
Kuna mikutano minne katika Bunge.
Mkutano wa kwanza, kati ya Oktoba hadi Novemba;
Mkutano wa pili, kati ya Januari hadi Februari;
Mkutano wa tatu, kati ya Aprili hadi Juni;
Mkutano wa nne, kati ya Augosti hadi Septemba.
So kwa tafsir ya mfano hapo ya Vikao vitatu ni kuanzia October mpka June ya mwaka unaofuatia,
Kwa maelezo ya Nasari ni kwamba alikua anamuuguza Mkewe so naamin Ugonjwa wa zaid ya miez 10 naamin kwa nafas yake na elimu yake Nassari alitakiwa kupta ruhusa ya Ndugai kama sheria inavyosema ili asiingie kwenye haya matatzo ya sasa
Msikilizeni tena Joshua halafu msikurupuke kukoment hovyo. Joshua anasema hivi, katika hiyo mikutano mitatu ambayoSpika anasema hajahudhuria, Joshua amehudhuria mmoja na kulipwa posho na bank statement Ana yo Yeye ushahidi. Spika alimlipaje posho mtu asiyehudhuria kikao? Kwa hiyo kama tunasemea katiba inayotaka mikutano mitatu, basi haimhusu Joshua Maana Yeye mikutano mkutani mmoja alihudhuria na kulipwa. Mmoja hakuhudhuria kabisa na mwingine ndio hiyo barua.
Tu assume barua ikanakataliwa, bado anabakiwa na mikutano miwili, katika hiyo miwili, mmoja amehudhuria na kulipwa. Sasa kabakiza mmoja ambao Nasari itabidi alazimike kuukubali hajahudhuria
Sent using Jamii Forums mobile app
huyo alilewa madaraka ya bunge, kwani kulikuwa na umuhimu gani mke wake kwenda marekani kuzaaa?Hata kama ni mtu wa upinzani basi ili upate public sympathy at least uwe na sababu za msingi basi siyo kwa upuuzi huu wa Nasary. Ni aibu hata kumtetea humu jukwaani yaani mtu mikutano mitatu hayupo bungeni eti yuko martenity marekani. Martenity kwa mwanaume ni siku 3 tu kwa sheria za Tz. Mwanamke anapewa miezi 3 ya maternity kwa sababu ananyonyesha, sasa Nasary tukimuuliza huko hospitali muda wote huo alikuwa anafua nepi? Au alikuwa ndiye Daktari ya mkewe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nassari hana hoja ndio maana analia lia tu kutaka hurumaKwakuwa suala la Joshua Nassari ni suala nyeti na linaloweza kujengewa nadharia mbalimbali sahihi na potofu, ni wajibu wake kuweka mambo sawa kwa kuanika ruhusa yake kutoka kwa Spika au ushahidi wake kuwa si kweli kuwa hakuhudhuria vikao vya mikutano mitatu mfululizo ya Bunge.Amasivyo, Katiba, Sheria, Kanuni na Taratibu za Bunge zitampiga kumbo kirahisi sana
Word!Mkuu Petro asante kwa hii, naunga mkono hoja na umeitendea haki Elo Elo Emu yako.
Kwa upande wangu, kutolewa kwa adhabu hiyo kwa Nasari, kumepelekea kuangaziwa kwa kifungu hicho, ni moja ya vifungu is unconstitutional na vyakidikiteta ndani ya katiba yetu.
Nimesema unconstitutional kwa sababu ni kifungu kinacho toa adhabu bila muadhubiwa kupewa haki ya kusikilizwa, condemned unheard, wakati Katiba yetu imesema wazi No one is condemned unheard.
Kabla ya utekelezaji wa adhabu hiyo, Bunge lilipaswa kumuandikia barua Nasari na kumpa fursa ya kumsikiliza.
Pili japo lengo la kifungu hicho ni kuzuia utoro Bungeni, the correct version ilipaswa iwe sio kupata ruhusa ya Spika, bali kutoa taarifa rasmi kwa Spika, kwa sababu most of the times, Wabunge wasiohudhuria mikutano zaidi ya mitatu ni kwa dharura za ugonjwa, hivyo kinachotakiwa ni kwa Spika kutaarifiwa tuu, mfano situation ya Lissu na Nimrod Mkono
Kitendo cha kumtaka mgonjwa kuomba ruhusa kwa Spika sounds absurd, hivyo kinachotakiwa ni kutoa taarifa rasmi kwa Spika, ndio maana nimewashauri Chadema, japo ni kweli Lissu anaumwa na kila mtu anajua, lakini bado ni muhimu kupeleka taarifa rasmi ya maendeleo ya matibabu yake kwa Spika, vinginevyo Lissu is next.
Thanks.
P
Mkuu Paskali, haya sasa ni maoni binafsi lakini sio kinachoelezwa na Katiba. Kwa mujibu wa Katiba yetu tunayopaswa kufuata Spika yupo sahihi kwa asilimia zote.Mkuu Petro asante kwa hii, naunga mkono hoja na umeitendea haki Elo Elo Emu yako.
Kwa upande wangu, kutolewa kwa adhabu hiyo kwa Nasari, kumepelekea kuangaziwa kwa kifungu hicho, ni moja ya vifungu is unconstitutional na vyakidikiteta ndani ya katiba yetu.
Nimesema unconstitutional kwa sababu ni kifungu kinacho toa adhabu bila muadhubiwa kupewa haki ya kusikilizwa, condemned unheard, wakati Katiba yetu imesema wazi No one is condemned unheard.
Kabla ya utekelezaji wa adhabu hiyo, Bunge lilipaswa kumuandikia barua Nasari na kumpa fursa ya kumsikiliza.
Pili japo lengo la kifungu hicho ni kuzuia utoro Bungeni, the correct version ilipaswa iwe sio kupata ruhusa ya Spika, bali kutoa taarifa rasmi kwa Spika, kwa sababu most of the times, Wabunge wasiohudhuria mikutano zaidi ya mitatu ni kwa dharura za ugonjwa, hivyo kinachotakiwa ni kwa Spika kutaarifiwa tuu, mfano situation ya Lissu na Nimrod Mkono
Kitendo cha kumtaka mgonjwa kuomba ruhusa kwa Spika sounds absurd, hivyo kinachotakiwa ni kutoa taarifa rasmi kwa Spika, ndio maana nimewashauri Chadema, japo ni kweli Lissu anaumwa na kila mtu anajua, lakini bado ni muhimu kupeleka taarifa rasmi ya maendeleo ya matibabu yake kwa Spika, vinginevyo Lissu is next.
Thanks.
P
Well saidMkuu Petro asante kwa hii, naunga mkono hoja na umeitendea haki Elo Elo Emu yako.