Unalipwa malipo kiasi gani kuleta propaganda uchwara hapa JF?kumbukumbu za bunge zinaonesha kuwa hoja ya Mh Sendeka kuhusu kuundwa kwa kamati teule ya bunge kuchunguza sakata la Jairo iliungwa mkono baada ya kutolewa lakini haikuafikiwa kwa mujibu wa kanuni za bunge!
Licha ya Naibu Spika kurejea kuisoma kanuni kabla ya kuamua,hakuwahoji wabunge ili hoja iafikiwe au la, kama kanuni inavyotaka mara baada ya hoja kutolewa na kuungwa mkono.inawezekana alipitiwa kutokana na jazba au ni usanii,lakini vyovyote iwavyo kamati teule iliyoundwa si halali kwakuwa haikuridhiwa na bunge.kwa maana hiyo serikali inaweza ikaikataa repoti ya kamati hiyo endapo itagundua mapungufu yanayoidhalilisha.
Licha ya upungufu huo wa kikanuni vile vile kamati teule pia inakwenda kwenye uchunguzi ikiwa inajua aliyewatuma (bunge) anataka nini, hivyo basi kwa kuwa wao pia ni sehemu ya bunge watakuwa kama mshtaki,muendesha mashata na jaji.
Tafakari!!!!!!
Toka niliposikia kwamba uchunguzi wa Meremeta unafanywa na Lowasa, na kama hiyo haitoshi, ripoyti atakabidhiwa Luhanjo ili "aitendee haki"! Mimi na mambo yenu ya siasa, baaaasi!!!!
Naungana na ndugu yangu Rostam Aziziiii!!!
Toka niliposikia kwamba uchunguzi wa Meremeta unafanywa na Lowasa, na kama hiyo haitoshi, ripoyti atakabidhiwa Luhanjo ili aitendee haki"! Mimi na mambo yenu ya siasa, baaaasi!!!!
Naungana na ndugu yangu Rostam Aziziiii!!!
Unalipwa malipo kiasi gani kuleta propaganda uchwara hapa JF?
bila kufuata sheria,kanuni na taratibu mtaendelea kuwaona mafisadi wakiwa wanapeta mitaani.tuache unafiki wa kujifanya tuna hasira na mafisadi wakati huo huo tunawaachia milango ya kutokea.ni lazima kuwa makini kwenye sheria na kanuni ili wasipate upenyo wa kutokea
sijakurupuka! tofautisha hoja kuungwa mkono na kuafikiwa.hoja inaungwa mkono kwa wabunge wasiopungua 10 kusimama ila ili iafikiwe na kuridhiwa na bubge ni lazima wabunge wahojiwe.naibu spika hakuwahoji!!! pengine Mh Mkono alitaka kuweka mambo ya kikanuni sawa lakini jazba za wabunge na Mh Naibu Spika zimeishia kukiukwa kwa kanuni.kaangalie record ya video au kasome hansadi! ili ulione kosa hilo,ndiyo maana nasema ama alipitiwa au ni usanii!Nashangaa mtoa mada sijui alikuwa amesinzia...! kama unakumbuka, bahada ya mh Ole Sendeka kutumia kanuni ya 117, Naibu spika Job ndugai aliwahoji na wabunge wakakubali, hoja ikapita. Hata pale aliposimama mh Mkono kuomba utaratibu, naibu spika alimwambia "hoja ikishatolewa uamuzi haipaswi kuzungumzwa tena" Au mheshimiwa Mkono amekutuma uje umsemee hapa JF kuwa yeye hakuunga mkono hoja?
Classical epitome of a stupid thinker!Kumbukumbu za bunge zinaonesha kuwa hoja ya Mh Sendeka kuhusu kuundwa kwa kamati teule ya bunge kuchunguza sakata la Jairo iliungwa mkono baada ya kutolewa lakini haikuafikiwa kwa mujibu wa kanuni za bunge!
Licha ya Naibu Spika kurejea kuisoma kanuni kabla ya kuamua,hakuwahoji wabunge ili hoja iafikiwe au la, kama kanuni inavyotaka mara baada ya hoja kutolewa na kuungwa mkono.inawezekana alipitiwa kutokana na jazba au ni usanii,lakini vyovyote iwavyo kamati teule iliyoundwa si halali kwakuwa haikuridhiwa na bunge.kwa maana hiyo serikali inaweza ikaikataa repoti ya kamati hiyo endapo itagundua mapungufu yanayoidhalilisha.
Licha ya upungufu huo wa kikanuni vile vile kamati teule pia inakwenda kwenye uchunguzi ikiwa inajua aliyewatuma (bunge) anataka nini, hivyo basi kwa kuwa wao pia ni sehemu ya bunge watakuwa kama mshtaki,muendesha mashata na jaji.
Tafakari!!!!!!
ufisadi is a very crucial and serious matter to discuss,hata tuwe na mipango mizuri kiasi gani kama ina mianya ya ufisadi na mafisadi wapo tusitegemee kupata ma matokeo mazuri ya mipango yetu.Jairo thing should now be given a rest and we need to move on other crucial matters for the betterment of our country. Its beyond me that over a bimester, folks' minds have engaged themselves into discussing this creature as if we have ran out of very serious matters.
learn to learn! usipende hoja nyepesi.Classical epitome of a stupid thinker! I rest my case.