Sakata la ESCROW, CAPPO DI TUTTI CAPPI lazima aondoke!

deadteja

JF-Expert Member
Aug 8, 2011
379
84
Kwenye hili sakata la ESCROW ambalo limefunika kwa sasa, ni kama kundi la Mafia kwa wale waliowahi kufuatilia habari zake wakati ule. Viongozi wa Mafia wanakuwa wengi tu, a wanajulikana kama 'boss', au 'CAPPO' kwa kiitaliano. Wanapiga mipango mingi tu haramu ya kupata hela, hata ikiwa kuuawa wanauwa kwa kutoa maagizo kirahisi tu kwa 'vijana' wao. Lakini kuna mkuu wa hawa mabosi wote, 'boss of bosses', au 'CAPPO DI TUTTI CAPPI. Huyu mara nyingi haonekani, lakini ndiye the most dangerous of them all! Ikitokea kamta kamata huyu haonekani kabisa,and as a result lile genge, mob, lnatokea tena baada ya muda fulani tu.
Kwa hapa kwetu kuna kitu kama hiki hiki kinaendelea. na kuna CAPPO DI TUTTI CAPPI somewhere is watching every move and who is making it and what mistakes they are doing. Kwa mistakes hizo hizo kesho anajiform upya na kupiga tena. Hapa nina maana wanakamatwa maboss tu nasi boss wa maboss-CAPPO DI TUTTI CAPPI! Kesho keshokutwa ata-strike tena na tena. Nafikiri mamlaka husika-kama nazo hazihusiki-ziafute namna ya kumkamata huyo mkuu wa maboss ili iwe mwisho sasa, kwani wizi wote mkubwa mkubwa, kuanzia ule wa Richmond, unaonekana kuratibiwa na mtu mmoja tu, but we still turn a blind eye kwake!
 
Back
Top Bottom