SAKATA la Bombadier: Tundu Lissu ni mmoja wa samaki wadogo. Atutajie zile kubwa

Wabongo bwana, eti MTU akihoji utendaji wa serikali na maamuzi yake ya kukurupuka, na kujaribu kuonyesha hasara nchi hii imeipata, zaidi akiwatanabahisha wanasheria watende kwa weledi katika uingiaji wa mikataba na kuishauri serikali ipasavyo inapotaka kuvunja mkataba, badala ya kuhanikizwa na wanasiasa.


Leo MTU huyo anaitwa si mzalendo. Je uzalendo ni kupiga vigelegele kwa kila serikali inachokifanya, pasi na kuishauri, kukosoa au kuonya? Wengi tunakumbuka mikataba ya madini inayopigiwa kelele kwa sasa huko nyuma ulipokuwa ukihoji majibu yake yalikuwa kama haya. Ooh! Wavivu wa kufikiri, ooh wawekezaji wanatumia mitaji mikubwa tuwalinde.

Ooh tunajenga mazingira mazuri ya kuvutia wawekezaji na tusipofanya hivyo wataenda nchi zingine, hivyo Rais wetu ( BWM) anahitaji kuungwa mkono na mguu sasa yako wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaniwekea maneno mdomoni mwangu. KILA post yangu iko kwenye kumbukumbu. Labda unameambia mwingine na si mimi.
 
Ubishi, kiburi, majivuno na ubabe ndio unaotufikisha hapa tulipo kwa sasa...Huyo unayempa sifa ya uzalendo hataki mabadiliko wala ushauri.Mi naona wanaoibua hizo kashfa hao ndio wazalendo ila nyie mnaopambana kuzificha ndio mnaotutia aibu.Kasome tena maana ya neno mzalendo.
KUFURAHIA yale ambayo nchi yko inapitia kstika hali yske ya kiuchumi ni kukosa UPENDO wataifa lako.
 
Hivi mkulu alivyokuwa akitamba kwenye vyombo vya habari na majukwaani kuwa ananunua ndege hiyo baada ya zile mbili kuja na akasisitiza kuwa Bombadier itakuja Julai ikifuatiwa na Boeing itakayokuwa inabeba watu zaidi 200!

Kwani wadai wetu wanamhitaji Lisu au kachero kujua kuwa Bongo wametoa order ya ndege hizo na wanalipa cash!Hivi hao Si wazungu kwa wazungu?..wakiulizia tu kwenye ofisi za Bomberdiar au Boeing. .wanapewa details zote!jamani tusishikane uchawi kwa hili mchawi ni mkulu mwenyewe. .anaongea mno na mpenda misifa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wasaliti WALIOJUAsiri za serikali. UKWELI lazima tuuseme.
 
We mkuu unafikir izo nchi unazozitaja n ndogo eti

Yan
Canada
Ufaransa
Belgium

Washindwe kujua Mali ya Tanzania
After all mlishatangaza kuwa mmeagiza hivo wao walianza kuifatilia mapema sanaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo nchi hazina interest na mambo ya ndani ya nchi zingine. Hayo ni mawazo yako. Tena kuhusu ma,bo ya USAFIRI hata usiseme. Kwao hayo si ma,bo ya MUHIMU.
 
Shilingi ina pande mbili kabla ya kulaumu upande wa pili jaribu kuchungiza na upande mwingine.

Mkuu wa nchi ana siasa za kudhlirishana, kubaguana, chuki, wivu nk.
Nyie mnaolalamika leo magufuli anahujumiwa mbona siwaonagi mkipaza sauti anavyojiona Mungu anapotsa wenzie?

Jaribu kuvaa viatu vya Manji leo ndipo utaona rangi halisi ya Magufuli.

Vaa viatu vya familia ya marehemu mkurugenzi Kabwe alivyokufa kwa chuki za makonda na Magu.

Vuya picha ya kimara masikini wanavyoteseka, wanakosa makazi watoto wadogo wanalala nje ingawa kuna katazo la mahakama.

Vuta picha mateso aliyopata lema akiwa jera, Roma akiwa ametekwa, Nape akiwa anadharilishwa kwa faida ya Magu na Makonda., Angalia ubabe uliofanyika Clouds.

Mkuu wa nchi amesikika akimdharilisha Lowasa tena kwa kejeli eti msiangalie Mwendo police mkamatane tu.
Jaribuni kuvaa viatu vya wazazi wa Ben Saanane ambao hawajui mtoto wao hawajui alipo ikiwa yeye yupo na Makonda Ikulu wanacheka kwa kujisifu wamewakomoa.

Mkuki kwa nguruwe lazima mjue hii ni dunia na wote tunapita na usimdhsrau mtu kisa una madaraka.

Motoni ni hapa hapa duniani mtalipwa tena ni mapema sana kuanza kulia coz ndio kwanza alfajiri, haki haijawahi kushindwa lazima dhuruma ikimbie ikiona haki inatamaraki.

Uhuru ni haki yetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tulishapata UHURU. Sijui ni uhuru gani unaouzungumzia?
 
Kwani aliyetangazia umma kuwa zimeagizwa ndege tano si rais wenu. Na aliyesema ndege ya tatu inakuja mwezi July 2017 si ndiyo huyo. Sasa kigugumizi ni nini mbona kaka kimya? Mbona simwoni anasimamishwa na wananchi aongee nao.

Na sisi wananchi tunamwambia achukue mshahara wake akalipe deni, watakuwa wanamkata kidogo kidogo mpaka liisshe na lisipoisha lirishishwa kwa watoto wake.

Huyu mzee ana roho mbaya sana.
Sasa wee mkuu unaongea nini?
 
Kwa hawa MAZWAZWA Mzalendo ni yule aliyelitia Taifa letu hasara kubwa sana miaka nenda miaka rudi kama bwana yule! Mafisadi pia akina Kikwete Mkapa Chenge Tibaijuka Ngeleja hawa baada ya maana ya neno la Mzalendo kugeuzwa juu chini nao ni Wazalendo!

Uzalendo..... hili neno lina maana kubwa sana. Wengi wanaitumia hovyo hovyo hasa pale wanapokosa majibu ya maswali magumu. Lissu alichosema ni historia, kama kuna mwenye historia ya tofauti, aiseme. We should focus on issues, not people; Ukweli haupigiwi kura, hata usipoupenda, haubadiliki.
 
Tulishapata UHURU. Sijui ni uhuru gani unaouzungumzia?
Uhuru sio kuwaondoa wazungu tu!

Bado taifa hili halina uhuru wa kuihoji serikali, kuikosoa, na hata kuishauri.

Nchi yenye uhuru Raisi hawezi kuingilia maamuzi ya bunge, kutojali maumivu ya watu wake kwa mfano serikali iko kimya kupotea kwa ben saanane, kutekwa kwa roma, na hata kutishiwa basola kwa nape.

Lakini pia watu wenye kinga ya mahakama serikali inabomoa nyumba zao, so sijui ni uhuru gani watakaojiringia wananchi hao.

Nahisi utakuwa umepata logic.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu sasa ni "uchochezi" wa hali ya juu. "Uthalendo" nijuavyo mimi kwa Tz ni kuwa "mfia serikali" yaani wewe lazima umzimie jpm (isome kwa umakini) yule jamaa pale magogoni. Finginevyo we thio nzalendo labda mfia nchi. LoL
Ndo kusema nini?
 
Hahaha nimecheka kufa hivi wewe nani asiyejua kua kampuni inayotengeneza bombadier yetu ipo Canada....si raisi ndie aliekua akisema hadharani na viongozi mbalimbali wa serikali......mhhhhh basi wamejichoma wenyeweee

Sent using Jamii Forums mobile app
HUKUELEWA. Hilo ndo tatizo la kuchukuwa vipande vidogo vidogo na kujaribu kuviunganisha.
 
Back
Top Bottom