Wana JF. Habari za kukamatwa kwa ndege yetu ya Bombadier nchini Canada kutokana na deni la STIRLING CIVIL ENGINEEING LTD limetuwacha wengine wetu kufedheheka na kutuumiza kama Watanzania waipendao nchi yao.
Hasa ikizingatiwa kuwa order imetolewa kushika/attach mali za serikali ya Tanzania zilizoko,
Canada.
Ufaransa,
Uholanzi,
Ubelgiji,
Uingereza na
Uganda ili kulipia deni hilo.
SWALI? Why now?/Kwa nini litokee kwenye AWAMU ya TANO ya rais Magufuli?
Probably your GUESS could be as good as MINE!!!!!!!!!
INASIKITISHA pia kuona kuwa kuna baadhi ya Watanzania wasio na UZALENDO
WAKIFURAHIA sana jambo hili.
Nashindwa nitawaitaje.Watu kama hawa ni WASALITI na kuna kifungu cha sheria ni lazima nao washughulikiwe.
Nirudi kwenye point yangu..
MALI za Tanzania ZISINGEJULIKANA bila ya VIGOGO fulani wanaojua kabisa ni NINI na WAPI Tanzania wana MALI.
Ukweli ni kuwa si muda mrefu uliopita tangu wengine WAMEKUWA huko Canada juzijuzi na wanajijua!
Punde tu baada ya hay ndo haya mambo yakaanza.
Swali langu ni,
Je kuwako kwao huko Canada ilikuwa ni
COINCIDENCE, au
Being in a WRONG place at a WRONG time.
Ama by DEFAULT?
Hii ni kusema Rais Magufuli ni lazima awe MAKINI.
Tundu Lissu anatumika tu kama DECOY/KIFUMBA macho ili tufocus kwake sana na tusahau WACHEZAJI WAKUU wa GAME hii(....sic........)
Ambao MCHANA wanamsifu magufuli kwa sauti ya juu na ikifika USIKU wanapanga namna ya KUHUJUMU JUHUDI zake za KUIENDELEZA Tanzania.
Watu hawa wana
WIVU,
CHUKI na kila ZURI analotaka kulifanya kwa ajili ya kuigeuza Tanzania.
Magufuli ni LAZIMA a FOCUS katika KUWATAMBUA hasa hawa ni AKINA nani walio NYUMA ya TUNDU LISSU.
Na USHAHIDI madhubuti UKIWAGUSA. ASISITE KUWAANIKA hadharani kama WALIVYOTUANIKA sisi. Na kutupa AIBU ambayo hatukustahili.
Hata hivyo naamini Hili litapita na ndege zetu zitakuja na wenye chuki na nchi hii basi ni LAZIMA wajue KUVUNJIKA kwa JEMBE si MWISHO wa UKULIMA.
Ndoto zetu zitatimia WEPENDE WASIPENDE!