Sakata la Bashite: TLS nendeni Mahakamani mapema


Mahakama hizi za Tanzania?
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] kabisa kichwa chake kitakuwa na shida sio hivi hivi tu. Sijui kwa nini anajiamini kiasi hiki!
 
Kuna watu siku hizi humu Tanzanian Ukiwawazia sana unaehuka mapemaa
 
Tulitarajia kama watanzania atatuomba radhi, tukaamua kuchungulia, ayaa kumbe anaoga tope kama bata maskini.
 
Hahaha.. Unapomchagua mtu kama huyu awe mkuu wa mkoa ni lazima na wewe nati zitakuwa zimefyatuka kichwani si bure... I can't imagine mkulu naye alikuwa anaangalia star TV na kusema duh jembe langu linatema cheche! Lol!
Hahahahahah
 
Eti unajiita Dr nan vile,hivi Kwa akili ya kawaida tu bado unajitoa ufahamu kumtetea huyu jamaa,watanzania bado tuna safari ndefu mpaka tufike kwakweli
 
Kama kawaida yako upo,tulikuwa tunataka tusikilize upupu wake na kweli amedhihirisha kichwani hamna kitu
 
atlas copco: Kwa nini tusianze na vyeti vya Bashite kwanza? Mbona hata Mzee ameanza na vyeti vya watumishi wa umma kwanza na kuwaacha mawaziri, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya na madiwani?
Mkuu unamwanzaje labda?,Mwenye mamlaka hayo ameshamwambia "baba fanya kazi usisikilize maneno ya watu"
 
Ata mimi nikiwa kama mwanachama wa chadema nataka kufahamu elimu ya mwenyekiti wangu Aikaeli. Kama ana elimu ya Sekondari au Elimu ya hapanapale.

Na kwakua ameshindwa kuweka elimuyake hadharani nataka niende mahakamani.
Nadhani ana elimu ya sekondari tu na sijawahi kusikia kuwa alighushi vyeti vyake.
 
Mkuu huyu mhuni na jambazi hawezi kutumia fursa vizuri maana hana supporting documents ya vyeti vyake na namna alivyopata jina la Paul Makonda kutoka Daudi Bashite wa Kolomije. Ni mwendelezo wa uhuni tu dhidi ya hili swala la huyu jamaa vinginevyo sasa hivi angekuwa na kesi ya kuidanganya Serikali na pia uvamizi wa Clouds.


Jamaa nilijua atatumia Fursa ya leo vizuri ila wapi!
Ukiwaangalia vizuri hata wale waandishi walk disappointed sana!
Walichotegemea Na reaction wanayoiona tofauti
 
Hicho kipindi hawana mpango WA kukirusha tena marudio tuliokosa tuone au kama Kuna mtu analink inayoweza kukuongoza kukidownload msaada plz
 
Huyu jamaa leo ndio kathibitisha uziro wake kituko mwanzo mwisho
 
Nchi nyingine wakiafuatilia mijadala yetu wanaishia kutusikitikia tu. Tunatia huruma kwa kweli.
NHuyu ni RC wetu.Anawakilisha chama chetu cha CCM.Akizungumza lazima tufatilie.
 
Kama kawaida yako upo,tulikuwa tunataka tusikilize upupu wake na kweli amedhihirisha kichwani hamna kitu

Ha ha ha ha haaaaaaaaaaaa


Na bado hamuwezi bila kujua yake, hata mkijaribu kuandika upupwu mnajua ni hakna budi msimalizane humu wenyewe eeeeeh


Makonda oyeeeeeeeeeeee
 
Ha ha ha ha haaaaaaaaaaaa


Na bado hamuwezi bila kujua yake, hata mkijaribu kuandika upupwu mnajua ni hakna budi msimalizane humu wenyewe eeeeeh


Makonda oyeeeeeeeeeeee
Sawa Mrs DAB hivi na ww upo kwenye kile kitengo cha kumsafisha jamaa?nasikia mmeungana na bongo movie kwenye hii inshu Ya kumsafisha mshikaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…