Hahaha.. Unapomchagua mtu kama huyu awe mkuu wa mkoa ni lazima na wewe nati zitakuwa zimefyatuka kichwani si bure... I can't imagine mkulu naye alikuwa anaangalia star TV na kusema duh jembe langu linatema cheche! Lol!Eti alipitia dirishani kuwakwepa tume NI KUTUMIA HEKIAMA (HEKIMA YA KIBASHITE) kwa sababu tume ile haikuwa halali kuchunguza suala la uvamizi
Na kwamba angewaona pale angewatia ndani tu kama wazururaji na hivyo alivyoruka ukuta ilimsaidia asiwaoneone.
Huyu jamaa, bila shaka kuna nati kadhaa hazijakaa sawa.
Mwisenge you are right only that hurijali
- Mlikuwa mnaapa humu hamtamuangalia wala kumfuatilia hujajua hayo ni maneno tu ya kinyumbu wanasema wasichotenda kuanzia Lowasa ni fisadi hapaswi kusafishwa ikaja UKUTA mkaja sijui na katafunua na hakuna hata kimoja mlichofanikisha
Mkuu kumbe unamjua huyu jamaa..Mpuuzi huyo
Hiyo TLS yenyewe iliojaa machadema hawana Locus stand.Mh.Lissu na TLS mahala pekee panapoweza kumfanya Bashite aseme ukweli kuhusu vyeti vyake na majina yake halisi ni mahakamani tu kwasababu huko akikwepa kujibu maswali ndio atakuwa amejimaliza /amejihukumu.
Kwahiyo nawashauri mfungue ile kesi mlioahidi kuifungua mapema maana ni wazi mtashinda hii kesi na huko mahakamani sioni kama atajibu maswali zaidi ya kuumbuka.
Kwa hiyo kumbe mnapenda habari zake sema mnabaniwa na akina Balile! Ha ha ha ha haaaaa!Jamaa nilijua atatumia Fursa ya leo vizuri ila wapi!
Ukiwaangalia vizuri hata wale waandishi walk disappointed sana!
Walichotegemea Na reaction wanayoiona tofauti
JE UNAWEZA KUMFUNGULIA MTU KESI MAHAKAMANUKI KUWA UNAHISI NI MWIVI? KAMA NDIO BASI MJANJA YOYOTE ANAWEZA AKAMFUNGULIA.NAONA TATIZO WAKATI WA KUFUNGUA KWANI HAKUNA HATA USHAHIDII WA KIMAZINGARA.Ili kumwelewa mtu alichoongea inabidi uwe na uelewa wa kutosha.lkn km unapumba tupu kichwani huwezi kumwelewa.km ambavyo wewe hujamwelewa.
Kuna watu wajinga wanaamini t.l.s.inauwezo wa kufanya lolote lile bira hata kuzifuata kanuni zinazo tuongoza.WANAKOSEA SN T.L.S. C CHAMA CHA KISIASA.Hiyo TLS yenyewe iliojaa machadema hawana Locus stand.
YesHakuna zaidi ya hili, mengine yote itakuwa kupoteza muda tu.
Kabisa mkuuHii ndio inayotakiwa
Ndugu hii nchi yakinafiki acha kabisa, wametizama tv na kuomba update waliokua mbali na tv hahaha dunia haishi maajabu.kumbe Baadhi ya wa TZ ni wanafiki si wengine humu mulisema kuwa hamtaangalia hiyo TV kilichowawasha kuangalia ni nini
Amesema atatoa vyeti siku kengeza Gastura naye akitoa vya kwakeHata mimi nmeona kbsaa kuwa jama vyeti hana na kuanzia leo stojadr jambo lolote kuhusu huyu jamaa haiwezekani akwepe mchana kweupe masuali mazito ya kujikosha au kujisafisha aise
Kwani vyombo vya habari, TLS, Askofu Gwajima na etc ndiyo wenye mamlaka ya kuhakiki vyeti vya watu? Sasa awapelekee vyeti vyake wao kama nani? Umeambiwa cheo cha RC kina rank sawa na Minister. Haingii akilini waziri au mkuu wa mkoa anachukua vyeti vyake anaenda navyo kuhakikiwa na chombo cha habari kinachomilikiwa na Kubenea, Mbowe na etc!! Wapi duniani ilikwisha tokea kitu cha namna hii.Nilitarajia leo anakuja na vyeti. Dah kwel jamaa alipata zero ila mfumo umembeba. Eti sio mtumishi wa umma.
Hili ndio la muhimu huyu zero apelekwe mahakamani tu yaani kila kitu anafanya ki zero zero
Kwani vyombo vya habari, TLS A, Askofu Gwajima na etc ndiyo wenye mamlaka ya kuhakiki vyeti vya watu? Sasa awapelekee vyeti vyake wao kama nani. Umeambiwa cheo cha RC kina rank sawa na Minister. Haingii akilini waziri au mkuu wa mkoa anachukua vyeti vyake anaenda navyo kuhakikiwa na chombo cha habari kinachomilikiwa na Kubenea, Mbowe na etc!! Wapi duniani ilikwisha tokea kitu cha namna hii.
Tuhuma nzito ya Makonda ilikuwa ni ya uvamizi wa kituo Clouds TV. Leo ameielezea vizuri sana. Ni djahiri ni tuhuma ya kughushi kwa maslahi wanayoyajua wengine. Na kuna uwezekano wahusika kufikishwa kwenye vyombo vya sheria kosa la dedefamation na kudhalilisha ofisi ya mkuu wa mkoa.
Hilo la kubadili jina toka D.A. Bashite na kuwa P.C. Makonda kwa kusudio la kutumia vyeti vya P.C. kujiendeleza kielimu nalo kalikanusha katu katu. Kwamba majina anayotumia ndiyo aliyopewa na wazazi wake. Hakukuwa na haja kuwaonyesha birth certificate kwani wao si mamlaka ya uhakiki. Ni dhahili kuwa hadithi hii ni ya kutungwa pia. Na watungaji ni baadhi ya waliotajwa kwenye orodha ya madawa. Si ajabu watu hawa wakafikishwa mahakamani muda si murefu kwa kosa la defamation na kudhalilisha ofisi ya mkuu wa mkoa. Tumesikia PCCB wanamalizia upelelezi wa kesi hii huko Tabora ambako kuna huyo name mate wa Makonda.
Mkondo wa sheria lazima utachukuwa mkondo wake dhidi ya watunzi hao wa hadithi za uongo.