Sakata la Bashite: TLS nendeni Mahakamani mapema

Mahakama zipi hizo???wakat8 yeye yupo kwenye muhimili unaotoa fedha kuendesha mihimili mingine
 
Kumbe ulikuwa unajua uvamizi clouds ulikuwa wa kuigiza kumchafua Makonda. Mbona hukuwahi kufukuza.

Hakuna mtu, wa kumuombea mwenzake kifo, na akafa.ayomaombi hayatoki kwa mungu.mungu hakutuumbia kifo, kifo kilitokea baada ya adam, na eva. Kula tunda walilozuiwa na mungu wasile, wao wakalila.ndo, ukawa mwanzo, wa kifo.
Hujui maana ya kifo kwa habari ya adam na eva. Hukumu ya kifo inayozungumziwa kwao sio hiki cha mwili.
 
Ila waandishi wameuliza maswali critical kwa kweli, kwa hilo nawapongeza, sema jamaa kila akiulizwa maswali ya msingi anaishia kucheka na ku-hit around the bush.
 
Napendekeza Tundu Lissu ndiye awe wakili atakayemburuza kwa maswali .
 
Bila shaka wala wasi wasi wowote Makonda hana cheti cha kidato cha nne nmemskkza kwa makini sn.
 
Ata mimi nikiwa kama mwanachama wa chadema nataka kufahamu elimu ya mwenyekiti wangu Aikaeli. Kama ana elimu ya Sekondari au Elimu ya hapanapale.

Na kwakua ameshindwa kuweka elimuyake hadharani nataka niende mahakamani.
Fanya haraka
 
Hii ndio inayotakiwa
Ahahaha mtaandamana humu mitandaoni tu karibu kuingia hata kesho barabarani uvunjwe mguu,kama UKUTA ulifeli you ndo hata hamtajaribu kutoka vyumbani kwa waume zenu nyie nyumbu
 
Kuna tofauti ya kuangaliwa na kuungwa mkono
  • Mlikuwa mnaapa humu hamtamuangalia wala kumfuatilia hujajua hayo ni maneno tu ya kinyumbu wanasema wasichotenda kuanzia Lowasa ni fisadi hapaswi kusafishwa ikaja UKUTA mkaja sijui na katafunua na hakuna hata kimoja mlichofanikisha
 
Mwinini?
 
Wooow kwani si unga umepanda bri kote si maisha yamepanda kote, furahia buku 3 unazopewa lakini siku mama yako akikosa dawa kule kijijini, ukumbuke tu ulichangia hilo

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
kwel diallo umejivunjia heshima kumpa airtime uyu mtu hamna cha maaana anachoongea pumba tupu
Ili kumwelewa mtu alichoongea inabidi uwe na uelewa wa kutosha.lkn km unapumba tupu kichwani huwezi kumwelewa.km ambavyo wewe hujamwelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…