Saikolojisti Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Saikolojisti Arusha

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mbimbinho, Aug 28, 2011.

 1. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #1
  Aug 28, 2011
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,868
  Trophy Points: 280
  Jamani, kwa yeyote ambaye anamfahamu Saikolojist hapa Arusha, msaada tafadhali, naombeni nisaidieni contacts. Sipo vizuri kabisa.
   
 2. Bei Mbaya

  Bei Mbaya JF-Expert Member

  #2
  Aug 28, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,265
  Likes Received: 226
  Trophy Points: 160
  in particular sifaham

  ila chek hospital kubwa yyte kuna kuwa na specialist wa io kitu
   
 3. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #3
  Aug 28, 2011
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Nenda pale kwa Dr. Mohamed, Tank la maji muulizie sister Rachel, aliwahi kumsaidia ndugu yangu wakati flani.
   
 4. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #4
  Aug 28, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Kitendo cha kujigundua kuwa haupo sawa tu, tayari ni ushindi tosha kuwa umeanza kuwa sawa...
  Jitahidi zaidi kuikabili hali inayokufanya usiwe sawa, hatimaye utaweza kuwa sawa bila hata kwenda kwa Psychologist...
   
 5. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #5
  Aug 28, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hapo Mt Meru Hospital yupo Sr Ester.... kama sijakosea jina
   
Loading...