Mr Bean
JF-Expert Member
- Mar 17, 2018
- 206
- 178
Habari zenu,
Nimekua nikipita humu jukwaani na mara nyingi nimeona watu wengi wana feli sana katika kuwaelewa wanawake.
Mimi nimekua nikifanya tafiti zangu kwa muda mrefu sana pamoja na kusoma vitabu mbali mbali juu ya tabia na saikolojia za wanawake, hivyo nawaelewa sana.
kwa hiyo nimeamua kujitolea ujuzi wangu katika kuwasaidia wanaume wenzangu wanaosumbuliwa na tatizo la kushindwa kuwaelewa wanawake na hivyo kusababisha washindwe kuwa nao au kugombana nao kila kukicha.
Pia baadhi ya wanawake nao wanashindwa kuelewa namna saikolojia zao zinavyofanya kazi, nanyi pia mnakaribishwa kuuliza maswali na kujifunza.
Edit 1 : Kutokana na maswali kuwa mengi sana kuliko nilivyotegemea, na muda sina wa kukaa na kuyajibu yote. Nitakua nayajibu taratibu, hivyo wewe uliza kisha mimi nikiingia JF kujibu nitaku tag. Asanteni.