Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,940
Narcissism ni tatizo la kisaikolojia kwenye kundi la personality disorders.neno narcissism limetokana na jina la kijana wa kigiriki Narcissus. Kijana huyu alitokea kujipenda kupita kiasi. alikuwa mda wote anashinda akijikubali jinsi alivyomzuri kwa kujiangalia ndani ya maji.
kwa hiyo watu wenye narcissistic personality disorders huwa ni watu wanajikubali sana kwa uwezo, mvuto na akili. pia hutaka watu wengine wawakubali mara zote. Hujiona mtu wa maana kuliko uhalisia na mara zote hutaka attention.
watu wenye hili tatizo huwa hawajali kabisa hisia wala mahitaji ya wengine (wabinafsi). huwa wanaamini wao ni watu special na hupenda kuhang out na watu wa hali ya juu. wakienda mgahawani watataka siti nzuri, kwenye movie watataka siti za mbele, anategemea kila anachotaka kifanyike na hupenda kutumia wengine kufikia marengo yake.
anapokutana na watu waliofanikiwa hujitia kujikweza na huwa na wivu kwao. Pia huwa na wivu kwa waliofanikiwa na huwaonea wivu. pia mda wote huhisi wengine wanamuonea wivu.
hukasirika na hawavumilii wanapokosolewa. huwadharau wengine katika njia ya kuonyesha umuhimu na kujikweza. hupenda wao tu ndiyo waongee na huonyesha dharau wengine wakiwa wanajiongelea.huwa ni watu wa lawama sana.
tatizo hili inasemekana linatokana na wazazi kushindwa kuwalea watoto kuwa watu wanaojali hisia za wengine.
natafuta mke mwenye narcissistic personality disorder