Saikolojia inatuambia kwamba;
Maamuzi sahihi ya mwanamke huwa yapo ndani ya dakika 90 tu za mwanzo!
Ikipita dakika 90 katika jambo moja lilelile tarajia maamuzi hasi kutoka kwake kuwa ndiyo maamuzi sahihi.
Na maamuzi hayo hasi yaliyo inje ya dakika tisini ndiyo huwa adhimio la ubongo wa Mwanamke yoyote yule hapa duniani bila kujali umri au nyadhifa!
Na ni vigumu sana kuyabadili hayo maamuzi hasi kwakuwa hutawala ubongo kuwa ndiyo maamuzi sahihi!
Napenda kutoa mifano!
Vinginevyo chochote unachotaka kukifanya kwa usahihi na mwanamke Kifanye kwa Surprise!
(Women love surprise) hii haina maana zawadi pekee Bali pia inamaanisha usahihi wa Mwanamke hupatika mwanzoni/mapema/ghafla ndani ya dakika 90!
Baada ya hapo tarajia kinyume chake!
Nasubiri maswali! Pia unaweza kusoma Uzi wangu mwingine; vile akili ya mwanamke ilivyo pangiliwa!
Kuna msemo usemao "USIWE KAMA MWANAMKE" Maana halisi ndiyo hii! Kubadilika baada ya dakika 90

- Unaweza kupanga mpango wowote wa biashara au kaz na Mwanamke kila kitu mkaongea sawa lakini mwishoni ataamua vinginevyo na mpango usifanikiwe
- Ingia na Mwanamke chumbani asiye mpenzi, kazana kuomba gemu, atakunyima papuch na kuapia katukatu Abadan kuwa hatokupa, Baada dakika 90 ukikomaa ataona unastahili kabisa kupewa!
- Mpe mkeo pesa za matumizi hata laki ataona sawa tu lakini huko gengeni akienda kuongezwa kitunguu cha mia tano atakikumbuka miezi 6 zawadi ya kitunguu n.k
- Mwanamke anaweza semeshwa na mwanamme akasema hana mda, pia anakujibu anamwanaume mwingine, lakini ukimudu kuwa nae ndani ya dak 90 maamuzi yatabadilika baadae atakubali na hutasikia cha bwana wa Mme na ukiuliza atakujibu hana!