Saidi Kazumari Mlapanya hili la Mayelle na George Mpole Ulipuyanga

Saidi Kazumari Mlapanya hili la Mayelle na George Mpole Ulipuyanga

Huyo huwa ni mnzi na si mchambuzi. After all wachezaji wa kibongo huwa wanaridhika na mafanikio madogo. Wakati hawa pprofessionals kutoka nje wanaelewa wanachokihitaji.
Mfano ni Nonda Shaban
 
Waandishi walio kwenye payroll ya makolo sijui huwa wanawatolea wapi. Huwa hamnazo kabisa au wakati mwingine unakuta ni wanasimamia taasisi kubwa kabisa. Huyo Bint kazumari huwaga hamnazo sambamba na yule anajiita mzee wa jambio. Wafuatilieni kwa makini jamaa mapenzi huwa yanawapa upofu sana
 
Back
Top Bottom