Said Mwema, IGP wa viwango aliyewahi kuwepo tangu uhuru

goukun wadey

JF-Expert Member
Apr 22, 2020
241
284
Ni mtazamo wangu, bali sijui kama kuna mfano Bora wa Igp yeyote aliwahi kutokea hapa Tz. Mtaalam aliyekuwa anahudumu ktk interpol, na kuja kuwa Igp ambae hajaacha makando kando, ndie alianzisha polisi jamii. Simsikii tangu amestaafu, namkumbuka sana hasa vipindi kama hivi vya uchaguzi.
 
Naweza kumpa 52%, licha hayo yote mazuri ulioyasema bado alikuwa na matatizi mengi, hata kipindi cha Abdalah Zombe au Ulimboka ilikuwa ni moja ya matatizo yake even if hata mauaji ya mwangosi bado yeye alikuwa IGP
 
Ni mtazamo wangu, bali sijui kama kuna mfano Bora wa Igp yeyote aliwahi kutokea hapa Tz. Mtaalam aliyekuwa anahudumu ktk interpol, na kuja kuwa Igp ambae hajaacha makando kando, ndie alianzisha polisi jamii. Simsikii tangu amestaafu, namkumbuka sana hasa vipindi kama hivi vya uchaguzi.
Kila zama na kitabu chake na kila masika yana mbu wake.
 
Ni mtazamo wangu, bali sijui kama kuna mfano Bora wa Igp yeyote aliwahi kutokea hapa Tz. Mtaalam aliyekuwa anahudumu ktk interpol, na kuja kuwa Igp ambae hajaacha makando kando, ndie alianzisha polisi jamii. Simsikii tangu amestaafu, namkumbuka sana hasa vipindi kama hivi vya uchaguzi.

Unasahu JK alileta watu wengi kutoka DIASPORA na moja wapo akiwemo huyu MWEMA.
alikuw amsomi kwelikweli na alikuwa zake huko Interpol
 
Kuna IGP wa Majambia aliwavuruga CUF na Watanzania sana
Kuna IGP anahusishwa na Lugumi
Kuna IGP watu hutekwa na kuuawa au kupigwa risasi hakuna ajuae nini kinafanyika
Wote hawa matatizo yao ni pale wanapo "amrishwa au kujipendekeza" kwa wakubwa na "lichama" lile vinginevyo wangekuwa ma IGP bora kabisa.
 
Shida yenu Ni kuleta siasa kila sehemu. IGP anapimwa kwa mazingira ya wakati Wake. Wewe kama Mwananchi wa kawaida. SIRO IS THE BEST. Siasa pelekeni ukweni kwenu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom