Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,033
- 285,600
mihemko nonsense ni umaskini wa kiwango kibaya sana aise 🤣Kwa Tuhuma za kukihujumu CHAMA kwa kushirikiana na Watu wa nje ya Chadema (CCM)
Amekirudisha CHAMA nyuma sana kwa hujuma zake za kizushi
Labda kwa wasiomjua Said ni hivi, huyu ni Mtu Duni aliyeokotwa na Chadema ili kutimiza matakwa ya katiba ya Nchi inayotaka kila CHAMA kiwe na wanachama pande zote za Muungano, alipewa cheo kikubwa kilichokuja kubadilisha maisha yake (Bottom Up), hatimaye muda wake ukaisha CHAMA kikabadilisha uongozi kwa Mujibu wa Katiba
Alikuja Chadema na kandambili akanunuliwa suti na Skuna, haya yote akayasahau na kuamua kukata mkono uliomlisha, ujinga mtupu!
Huyu hafai na anapaswa kutimuliwa haraka sana aende kwa waliomtuma
Mkuu hivi huwa unalipwa kiasi gani Kushinda Kwenye mitandao ya Kijamii Kuitetea CCM NA SAMIA.mihemko nonsense ni umaskini wa kiwango kibaya sana aise 🤣
Lazimamkujenha hoja halisi isije kuwa akatushinda mahakamani. Cause of action iwe very strong!Kwa Tuhuma za kukihujumu CHAMA kwa kushirikiana na Watu wa nje ya CHADEMA (CCM)
Amekirudisha CHAMA nyuma sana kwa hujuma zake za kizushi
Labda kwa wasiomjua Said ni hivi, huyu ni Mtu Duni aliyeokotwa na Chadema ili kutimiza matakwa ya katiba ya Nchi inayotaka kila CHAMA kiwe na wanachama pande zote za Muungano, alipewa cheo kikubwa kilichokuja kubadilisha maisha yake (Bottom Up), hatimaye muda wake ukaisha CHAMA kikabadilisha uongozi kwa Mujibu wa Katiba
Alikuja Chadema na kandambili akanunuliwa suti na Skuna, haya yote akayasahau na kuamua kukata mkono uliomlisha, ujinga mtupu!
Huyu hafai na anapaswa kutimuliwa haraka sana aende kwa waliomtuma
hakuna sababu ya kumfukuza, abaki kama mwanachama wa kawaida.Kwa Tuhuma za kukihujumu CHAMA kwa kushirikiana na Watu wa nje ya CHADEMA (CCM)
Amekirudisha CHAMA nyuma sana kwa hujuma zake za kizushi
Labda kwa wasiomjua Said ni hivi, huyu ni Mtu Duni aliyeokotwa na Chadema ili kutimiza matakwa ya katiba ya Nchi inayotaka kila CHAMA kiwe na wanachama pande zote za Muungano, alipewa cheo kikubwa kilichokuja kubadilisha maisha yake (Bottom Up), hatimaye muda wake ukaisha CHAMA kikabadilisha uongozi kwa Mujibu wa Katiba
Alikuja Chadema na kandambili akanunuliwa suti na Skuna, haya yote akayasahau na kuamua kukata mkono uliomlisha, ujinga mtupu!
Huyu hafai na anapaswa kutimuliwa haraka sana aende kwa waliomtuma
Kuhujumu chama ni kesi kubwa mno, kufutwa kwa kesi yake ni ushahidi kamiliLazimamkujenha hoja halisi isije kuwa akatushinda mahakamani. Cause of action iwe very strong!
Sawa nifukuzeni nitaenda TLP au CHAUMMA..Kwa Tuhuma za kukihujumu CHAMA kwa kushirikiana na Watu wa nje ya CHADEMA (CCM)
Amekirudisha CHAMA nyuma sana kwa hujuma zake za kizushi
Labda kwa wasiomjua Said ni hivi, huyu ni Mtu Duni aliyeokotwa na Chadema ili kutimiza matakwa ya katiba ya Nchi inayotaka kila CHAMA kiwe na wanachama pande zote za Muungano, alipewa cheo kikubwa kilichokuja kubadilisha maisha yake (Bottom Up), hatimaye muda wake ukaisha CHAMA kikabadilisha uongozi kwa Mujibu wa Katiba
Alikuja Chadema na kandambili akanunuliwa suti na Skuna, haya yote akayasahau na kuamua kukata mkono uliomlisha, ujinga mtupu!
Huyu hafai na anapaswa kutimuliwa haraka sana aende kwa waliomtuma
mihemko nonsense ni umaskini wa kiwango kibaya sana aise 🤣
Apewe muda ajitetee kwanini asifukuzwe kwani huyo atakimbilia tena mahakamaniKwa Tuhuma za kukihujumu CHAMA kwa kushirikiana na Watu wa nje ya CHADEMA (CCM)
Amekirudisha CHAMA nyuma sana kwa hujuma zake za kizushi
Labda kwa wasiomjua Said ni hivi, huyu ni Mtu Duni aliyeokotwa na Chadema ili kutimiza matakwa ya katiba ya Nchi inayotaka kila CHAMA kiwe na wanachama pande zote za Muungano, alipewa cheo kikubwa kilichokuja kubadilisha maisha yake (Bottom Up), hatimaye muda wake ukaisha CHAMA kikabadilisha uongozi kwa Mujibu wa Katiba
Alikuja Chadema na kandambili akanunuliwa suti na Skuna, haya yote akayasahau na kuamua kukata mkono uliomlisha, ujinga mtupu!
Huyu hafai na anapaswa kutimuliwa haraka sana aende kwa waliomtuma
Uwe mtulivu wewe ni kijana muhimu Kwa Chama kanda ya Nyasa. Nakuomba tulia Kwanza halafu nitafute siku kama ya Leo Mwezi ujao.Kuhujumu chama ni kesi kubwa mno, kufutwa kwa kesi yake ni ushahidi kamili
choko la Abdulmihemko nonsense ni umaskini wa kiwango kibaya sana aise 🤣
Hatufugi majiniAachwe tu ili awe mwanachama asiye na cheo chochote ndani ya chama. Ataumia ki saikolojia halafu ataondoka mwenyewe.
Kila mtu ashinde mechi zakeUwe mtulivu wewe ni kijana muhimu Kwa Chama kanda ya Nyasa. Nakuomba tulia Kwanza halafu nitafute siku kama ya Leo Mwezi ujao.
BadoKwani bado ni mwanachama?
Bado