AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,050
CHADEMA ndiyo iliyomfanya wananchi wakamchagua.Maneno aliyoyasema yanaweza kusemwa na mtu aliyekengeuka tu.Wenye serekali wenyewe wanaiona serekali ya chama chao haiwafanyii wananchi kile inachotakiwa ifanyie ndiyo maana ya wanazunguka nchi nzima kuishambulia serekali yao iweje yeye aione serekali ya CCM ina masilahi kwa wananchi wake mpaka aseme wananchi kwanza CHADEMA badaye?.au ana sumbuliwa na ukengeufu?.
Sasa wewe unamwona Arfi ni mzima kichwani?
chadema imekithiri kwa ubaguzi wa udini na ukabila...wanaotakiwa ufipa ni wakristo na wachagga tuJina la Allah likitajwa unakimbilia kuwaza UDINI tu!? Pambafu zako! Nenda kamtibu kisukari huyu mzee wako pimbi anayekaribia kuokota makopo
Povu lote hili ni kumtetetea Arfi aliyerukwa na akili?Mtajibeba. Mtu mwenye akili timamu hawezi kuwa na nyie mnaopora ruzuku ya chama na kwenda kununua majumba dubai. Chama kiko hoi bin taaban
Huyu mzee jimno lake tu la Mpanda limemshinda sasa anaona uchaguzi umekaribia thenly anaanza kutapatapa kama chura maji aliyetupwa jangwani.
Hee kwa hiyo anakukuna vizuri ee?Mbowevkwani na yeye ana kisukari?
chadema imekithiri kwa ubaguzi wa udini na ukabila...wanaotakiwa ufipa ni wakristo na wachagga tu
Chadema haishughuliki na wagonjwq wa akili kama Arfi
unataka niwatetee wachaga wa ufipa na wakatoliki machademaPovu lote hili ni kumtetetea Arfi aliyerukwa na akili?
Hee kwa hiyo anakukuna vizuri ee?
Kwi kwi kwi! Huyu mzee kisukari kimeua uwezo wake wa ufahamu
makam mwenyekiti mstaafu CHADEMA amesema wananchi wake kwanza chadema baadae. hawezi kupinga mambo ambsyo yana maslahi na wananchi eti kwakuwa yameletwa na ccm.
source. nipashe ya leo.
unataka niwatetee wachaga wa ufipa na wakatoliki machadema
Kwaiyo wewe usipokunwa vizuri mkunaji amakuwa na kisukari?
hahaaa, mzee jembe na ndiyo maana alikuwa Makamu mwenyekiti wa CDM taifa, mbona asipewe LISSU?
rudi kwenye mada, matusi hayakusaidii, Mzee Arfi anakuzidi umri, akili, utajiri, busara n.k.
Keani Arfi ni kabila gani? Usikute anatoka mkoa wenye vichaa wengi
Mwenye matatizo hayo ni mbowe ndio mana alipata sifuri (0) form sixChadema haishughuliki na wagonjwq wa akili kama Arfi
ni kweli kwa umri wake kutangatanga na vyama ni kujidhalilisha kisiasa. Ni sawa na mzee wa miaka 60 kuanza kutangatanga mabarabarani kupigana vikumbo na vijana wa miaka 25.
ni kweli kwa umri wake kutangatanga na vyama ni kujidhalilisha kisiasa. Ni sawa na mzee wa miaka 60 kuanza kutangatanga mabarabarani kupigana vikumbo na vijana wa miaka 25.
SLAA alihama CCM akiwa na umri gani?