Sai Baba laua na kujeruhi

Sai Baba laua na kujeruhi

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
25,946
Reaction score
38,658
Dereva wa basi la Sai Baba amefariki dunia papo hapo na abiria 17 wamejeruhiwa baada ya basi hilo kupinduka katika eneo la Mwambegere wilayani Chunya mkoani Mbeya.

Basi hilo lilikuwa linatoka Dar es Salaam

RADIO1 STEREO
 
saibaba kwa kutoa kafara madereva na makonda ajali nyingi wanaokufa za basi la saibaba ni dereva na konda
 
Hayo magari nasikia yanaua Dereva na kondo basi, R.I.P Dereva.!
 
saa hii saa ngapi huko bongo mpaka jamaa awe amefika chunya?kinachosababisha ajali ni mwendo mkali tu.
 
Dereva wa basi la Sai Baba amefariki dunia papo hapo na abiria 17 wamejeruhiwa baada ya basi hilo kupinduka katika eneo la Mwambegere wilayani Chunya mkoani Mbeya.

Basi hilo lilikuwa linatoka Dar es Salaam

RADIO1 STEREO

Mkuu sidhani kama kuna ruti ya basi lolote kutoka DAR-MBEYA kupitia Chunya.!
 
sio Chunya ni wilayani Rungwe eneo la mwambegere Katumba lilikuwa linaelekea kyela
 
Chunya? Kutoka dar? Au chimala??????ila kuna vitambaa vyeusi vinaning'inia katika haya mabasi ya sai baba vinafungwa kwa nyuma au mbele, kama ukichunguza vizuri utaviona,yale ni majini na hupewa damu ktk kila kipindi fulani,
 
Jamani hawa madereva wa mabasi ya mikoani wanahitaji kuombewa kwani sidhani kama ni wazima kiakili.Najua ni vigumu kunielewa kama hauishi kati ya Ubungo na Kibamba na pia kama hauna gari dogo.Hawa madereva ukiwa na kigari chako kidogo kwao ni sawa na karatasi barabarani yaani utadhani wameambiwa barabara ni kwa ajili ya mabasi tu,RIP dereva.
 
Hayo magari nasikia yanaua Dereva na kondo basi, R.I.P Dereva.!

ndio mazur kuyapanda-ata dereva akienda kasi vp amkemei apunguze mwendo unafungua kurasa za gazeti unajua uhai wako uko salama ata ikitokea ajal.r.i.p dereva
 
saibaba kwa kutoa kafara madereva na makonda ajali nyingi wanaokufa za basi la saibaba ni dereva na konda

kwa imani hizi ajali zitaendelea sana hapa Tanzania kwani mtazamo wako unawakilisha mtazamo wa watanzania wengi sana. Badala ya kuangalia sources za ajali na kujaribu ku-take precautions wao wanaamini ni kafara za wenye magari.

Ikitokea BIMA wakamlipa mmiliki wa SAI BABA pesa za basi jipya, wabongo utawasikia "umeona, basi lake liliua, ameleta basi jipya baada ya kutoa kafara"
 
  • Thanks
Reactions: y-n
Hivi najiuliza japo ni nadra sana kusikia ajali za treni tungelikuwa na barabara nzuri za reli na treni imara tungeepusha ajali za watu wangapi?.
 
sio Chunya ni wilayani Rungwe eneo la mwambegere Katumba lilikuwa linaelekea kyela

Lol! Hatari sana! Mwenyenzi Mungu Mwingi wa Rehema na ampe pumziko la milele Dereva huyo pamoja na wote wale walio majeruhi wapone mapema!
 
Dereva wa basi la Sai Baba amefariki dunia papo hapo na abiria 17 wamejeruhiwa baada ya basi hilo kupinduka katika eneo la Mwambegere wilayani Chunya mkoani Mbeya.

Basi hilo lilikuwa linatoka Dar es Salaam

RADIO1 STEREO

kama kafa dereva hakuna tatizo,madereva wakiwa barabarani wanawehuka sana
 
  • Thanks
Reactions: y-n
Back
Top Bottom