DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,871
Mkuu sidhani kama kuna ruti ya basi lolote kutoka DAR-MBEYA kupitia Chunya.!
mimi mwenyewe nipo hoi kwa mshangao hapa
Mkuu sidhani kama kuna ruti ya basi lolote kutoka DAR-MBEYA kupitia Chunya.!
Dereva wa basi la Sai Baba amefariki dunia papo hapo na abiria 17 wamejeruhiwa baada ya basi hilo kupinduka katika eneo la Mwambegere wilayani Chunya mkoani Mbeya.
Basi hilo lilikuwa linatoka Dar es Salaam
RADIO1 STEREO
Hatari sana hii...
Dereva wa basi la Sai Baba amefariki dunia papo hapo na abiria 17 wamejeruhiwa baada ya basi hilo kupinduka katika eneo la Mwambegere wilayani Chunya mkoani Mbeya.
Basi hilo lilikuwa linatoka Dar es Salaam
RADIO1 STEREO
hii ni kweli kabisa angalia mabasi yote ya saibaba kwa nyuma juu kabisa (kulia) utaona kidude cheusi kinaninginia.Chunya? Kutoka dar? Au chimala??????ila kuna vitambaa vyeusi vinaning'inia katika haya mabasi ya sai baba vinafungwa kwa nyuma au mbele, kama ukichunguza vizuri utaviona,yale ni majini na hupewa damu ktk kila kipindi fulani,
Siyo kwenye barabara hiyo tu, tuulize sisi tunaotumia Barabara ya Mandela muda wa saa 12 asubuhi!!! Madereva wa mabasi yanayokwenda Kusini wanaendesha rough na wanapiga honi kwa fujo utadhani wenye magari madogo hawatakiwi barabarani muda huo!!Jamani hawa madereva wa mabasi ya mikoani wanahitaji kuombewa kwani sidhani kama ni wazima kiakili.Najua ni vigumu kunielewa kama hauishi kati ya Ubungo na Kibamba na pia kama hauna gari dogo.Hawa madereva ukiwa na kigari chako kidogo kwao ni sawa na karatasi barabarani yaani utadhani wameambiwa barabara ni kwa ajili ya mabasi tu,RIP dereva.
Chunya? Kutoka dar? Au chimala??????ila kuna vitambaa vyeusi vinaning'inia katika haya mabasi ya sai baba vinafungwa kwa nyuma au mbele, kama ukichunguza vizuri utaviona,yale ni majini na hupewa damu ktk kila kipindi fulani,
Lol! Hatari sana! Mwenyenzi Mungu Mwingi wa Rehema na ampe pumziko la milele Dereva huyo pamoja na wote wale walio majeruhi wapone mapema!
Watu8 ulinijibu kuhusu Lwakatale, baadaye uzu ukawa withdrawn! I would like to know you anyway, ingawa humu anonymity ndio mwendo. Nilikujibu sijui kama uliona response yangu kabla ya kuufuta uzi.