Mkuu acha kutukana polisi bila Sababu ya msingi, deni hilo unalipa Kwa control number askari hachukui Hata Kumi hapo.
Huwajui hao wahuniMkuu acha kutukana polisi bila Sababu ya msingi, deni hilo unalipa Kwa control number askari hachukui Hata Kumi hapo.
Huwajui hao wahuni
Umesoma ukaelewa amesema wanakagua nini? Rudia.Hahahaha, anakagua nini akati liko gerejei, na likiwa huko maana yake ni bovu, , Aisee polisi njaa zitawamaliza.
Ila kitu nimekuja ona Maaskari wa Usalama road ni Matajiri sana.
Nakubaliana na wewe, maana kuna siku, Askari aitwae Emmanuel huko Mtwara, ni kweli alinikamata na kosa la abiria wangu kuto funga mkanda, nikamuomba anisemehe kwakua alijisahau tu eneo kutoka tuliposimama muda mfupi kupata mahitaji.Nani kasema hachukui hata cent ? Wana % yao kwa kila faini, na ninafikiri ni Elfu tano.
Chochote wanachokagua,. ni bora wakafanya kazi hiyo gari likiwa barabarani, na siyo likiwa gereji ama limepaki, ndiyo maana wanaitwa askari wa usalama barabarani.Umesoma ukaelewa amesema wanakagua nini? Rudia.
Kama ya faini ni ya siku za nyuma wakati gari linatembea hata kama lingeungua lote bado unawajibika kulipa.Chochote wanachokagua,. ni bora wakafanya kazi hiyo gari likiwa barabarani, na siyo likiwa gereji ama limepaki, ndiyo maana wanaitwa askari wa usalama barabarani.
Gari yangu mbovu iko gereji wewe uniletee deni eti gari inadaiwa alafu nilipe, wenda gari halitarudi tena barabarani.
Nakubaliana na wewe, maana kuna siku, Askari aitwae Emmanuel huko Mtwara, ni kweli alinikamata na kosa la abiria wangu kuto funga mkanda, nikamuomba anisemehe kwakua alijisahau tu eneo kutoka tuliposimama muda mfupi kupata mahitaji.
Na bahati mzuri barabara ya vumbi, yenye mashimo umetembea kwa kasi Speed 20.
alichofanya aliomba leseni yangu, nikampa, na alionyesha kunikublia ombi langu, akaniruhusu kuendelea na safari.
Kesho yake ikanituma tu kuangalia kwenye Simu kama nadaiwa, kweli nikakuta nadaiwa, tena pale kwake nilipita saa nne asbuhi, ila inaonyesha kosa nimelifanya saa, kumi na moja jioni, wakati safari yangu saa nane tayari nilikua nimeshafika.
Nikajiuliza amefanya hivi kwa faida ya nani, kumbe kuna chochote wanachokipata, basi hata maneno ya Rais samia hayawezi fanya kazi.
Chochote wanachokagua,. ni bora wakafanya kazi hiyo gari likiwa barabarani, na siyo likiwa gereji ama limepaki, ndiyo maana wanaitwa askari wa usalama barabarani.
Gari yangu mbovu iko gereji wewe uniletee deni eti gari inadaiwa alafu nilipe, wenda gari halitarudi tena barabarani.
kwanza tukubaliane hiyo hela inaenda moja kwa moja serikalini hawana cha elfu tanoYes, Ndio maana ukimpoza kwa elfu tano wengi wao hukataa kwa sababu anajua akikuandikia hiyo elfu tano atapata kwenye fain atakayoandika, so atleast 10 , wacha tu Rushwa itawale maana nayo inatuokoa sana haswa road , huko kwingine wacha isiwepo
Hawa jamaa Askari wa usalama barabarani sasa wamehamia Gereji kabisa wanakagua madeni ya magari imekuwa kero kwa mafundi ni kwa vile tu hawana pakusema, wakikuta linadaiwa wanakomaa na fundi muhusika anauelitengeneza.
Kwakweli nimewashuhudia Gereji mara nyingi sana na mafundi wamekuwa wakilalamika sana, sasa sielewi usahihi wa wao kufanya hili.