Sigara ni haramu muda wowote.Wakati wa mfungo wengi wanaacha kuzini na kunywa pombe ,lakini wavuta sigara wakifuturu tu moja kwa moja wanavuta sigara, je sigara siyo anasa? Na ni sahihi kuvuta sigara baada ya kufuturu?
Kila chochote chenye kuzuru mwili ni haramu, hii ni kaida ya kiusuli iliyotokana na maneno ya mtume, ndiyo maana hata Bangi ni haramu lakini hukuti aya wala hadithi ikisema bangi ni haramu.Mi kuna jamaa yangu mmoja anasema pombe imekatazwa na vifungu vipo ila hakuna verse iliyoyoa katazo kwa sigara
Uislam haujaacha kitu chochote mzeeSigara siyo haramu,haikuwepo wakati wamtume saw,kwa hiyo hakuna wa kuharamisha
sigara sio rahisi kumaintain inafika point mwili ndo unadaiWakati wa mfungo wengi wanaacha kuzini na kunywa pombe ,lakini wavuta sigara wakifuturu tu moja kwa moja wanavuta sigara, je sigara siyo anasa? Na ni sahihi kuvuta sigara baada ya kufuturu?
Sio "kuzuru" ni "kudhuru"Kila chochote chenye kuzuru mwili ni haramu, hii ni kaida ya kiusuli iliyotokana na maneno ya mtume, ndiyo maana hata Bangi ni haramu lakini hukuti aya wala hadithi ikisema bangi ni haramu.
Haya mambo ni ya kielimu, na kuna somo maalumu kuhusu haya, dini inakupa misingi (usuli) kisha kutokea katika misingi hiyo hukumu zinaenea katika mambo mengine.
Mafuta ya kula,sukari,soda vina madhara,mbona hamuachi!!!?...Qur'an imeshaweka kipi Haram kipi siyoUislam haujaacha kitu chochote mzee
Chochote mzee
Amesema Allah ktk Surat Al-maida aya ((4))
((يَسْأَلُونَكَمَاذَا أُحِلَّ لَهُمْ ۖ قُلْ أُحِلَّ لَكُمُ الطَّيِّبَاتُ ۙ وَمَا عَلَّمْتُمْ مِنَ الْجَوَارِحِ ..))
Maana yake :-
""Wanakuuliza wamehalalishiwanini? Sema: Mmehalalishiwa kila vilivyo vizuri na mlicho wafundisha wanyama kukiwinda. ......""
Sigara unaandikiwa No smoking ninhatari kwa afya yako
Moja kwa moja mwenyezi Mungu alishakataza vyovyote vinavyo dhuru kuwa siyo halali, hata shisha kwakua Ina madhara hiyo siyo halali katika uislam japo huenda haikuwepo kabla
Soda,mafuta ya kula,sukari vinadhuru mwili,ni Haram!?Kila chochote chenye kuzuru mwili ni haramu, hii ni kaida ya kiusuli iliyotokana na maneno ya mtume, ndiyo maana hata Bangi ni haramu lakini hukuti aya wala hadithi ikisema bangi ni haramu.
Haya mambo ni ya kielimu, na kuna somo maalumu kuhusu haya, dini inakupa misingi (usuli) kisha kutokea katika misingi hiyo hukumu zinaenea katika mambo mengine.