Saga la Makonda: My Take

Hivi kabisa walitegemea atumbuliwe?hahahaha Magufuli hatumbui kwa shinikizo hata mara moja na hata wabunge wote wakitishia kujiuzulu hatomtumbua....Kosa walilofanya toka mwanzo ni kumuandama muda mrefu...
Mi napenda msimamo wake ili wale wasiopenda ujinga huo waendelee kutupatia exclusive kutoka magogoni
 
makonda ni agent wa kukusanya masurufu ya bwana wake kwenye madili yake
 
Naamini watu hawatataka tena Makonda/Daud atumbuliwe kwani wanajua Makonda hajakosea chochote kile ila anatekeleza majukumu aliyopewa na waliomuweka hapo.
Watu walichojifunza na walichonufaika nacho ni kutowaamini wanasiasa tena, na ukitaka kumuadhibu mwanasiasa acha vita ya maneno dhidi yake, msubirie tu kwenye box la kura tena usimuonyeshe dalili yoyote ya kumkataa ili asije akastuka na kuja na mbinu nyingine.
Rais wetu hawezekani kwa vita ya maneno ila ni kumuacha aendeshe mambo anavyoona inafaa, akikwama huwa anarudi kimya na kuomba msaada wa mawazo.
 
Hasira za UKUTA
 
Usitegemee hili jambo kuisha kwa kauli ya dharau aliyotoa huku akijua huyo mtu sio
 
wanapigana vita kitoto sana yani na Mh.Rais angemtumbua Makonda ningesikitika sana yani mimi mwenyewe ningekuwa Magufuli nisingemtumbua makonda leo wala kesho.
 
Mkuu kwenye hii thread kaelezea vizuri sana.

Kuna watu wanatumia watu wengine kuendesha hii vita ya kuakikisha Makonda anatumbuliwa. Lakini kutumia hao watu ndio kumemfanya Makonda hasitumbuliwe!
 
Suala la bashite ni agenda ya kudumu labda atangaze rasmi maovu ya bashite sio makosa kisheria !!!!!
 
Swala si kutumbuliwa mtu, Daud Albert Bashite anapaswa kufikishwa mahakamani kwa makosa ya kufoji, otherwise Rais awarudishe kazini wote waliopoteza kazi serikalini kwa sababu ya vyeti.
 
Tujiulize wote:
1. Hayo aliyofanya Magufuli ni kwa faida ya nani? Nauliza hivyo kwasababu najua madhara ya upuuzi aliyofanya yatasambaa kama moto wa nyika na yataenda mbali! Ukichukulia vitu vyote alivyotuhumiwa, bila kutolewa ufafanuzi usio na shaka vitaaminiwa na wengi. Viongozi wengi walio chini ya Magufuli wataona wamesetiwa precedence ya double standard na inakubalika kulegeza kamba pale wakati mwingine hata kama mtu ana makosa dhahiri.
 
Hivi kabisa walitegemea atumbuliwe?hahahaha Magufuli hatumbui kwa shinikizo hata mara moja na hata wabunge wote wakitishia kujiuzulu hatomtumbua....Kosa walilofanya toka mwanzo ni kumuandama muda mrefu...
Mkurugenzi WA jiji DSM marehemu K.
 
Kwa bashite kutochukuliwa hatua,mimi naona baba bashite anataka kushindana na Mange. Ni Mange pekee mwenye uthubutu wa kumtukana na kuingilia faragha ya baba bashite. Sio haki bashite anaachwa wakati ameumiza watu wengi kwa mambo yake(kughushi cheti cha kliniki ili amuaibishe Gwajima, kuvamia clouds, nk) ili mradi tu amkomoe Mange ambaye yuko kwa Trump. Waumini wa Gwajima watamuelewaje baba bashite? Wafanyakazi wa Clouds na uongozi wao watamuelewaje baba bashite?

Baba bashite ana tone ya kiburi, jeuri na kuvimbiwa madaraka. Natarajia tukifika 2019 ataanza kubadilisha tone ili aombe kura kirahisi. Kujibadilisha ili kuendana na mazingira ndo sababu simpendi kinyonga.
 
Wengi wanao pambana na Makonda walikosea target kabisa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…