Safu ya nccr mageuzi chama dume 1995

muzachai

Member
Apr 30, 2009
41
16
Ndugu wadau.

Wakati chama hiki kinaanzishwa bado nilikuwa chule ya msingi lakini nilikipenda mpaka nikafanikiwa kukipigia kula mwaka 1995 kupitia kwa marehemu bibi yangu ambaye alikuwa mnazi wa ccm na alikuwa haoni. nilipokuwa kidato cha kwanza nikanunua na kadi ya NCCR-MAGEUZI. Kwa kweli safu ya chama hiki ilitisha hasa kipindi cha uchaguzi na kampeni zao. hasa kipindi cha uchaguzi wa jimbo la temeke baada ya mheshimiwa kihiyo kuwekwa kando na mahakama.

jukwaani alikuwa anaanza kupanda

shehe mtopea akifuatiwa na

ndimala tegambwage akifuatiwa na

chiku abwao wa iringa akifuatiwa na

Dr masumbuko lamwai akifuatiwa na

mabere nyaucho marando na akimalizia mzee mzima

mzee wanji hii agustino lyatonga mrema.

zile hotuba zao zilikuwa na bashasha na msisimko sana,. hetu tujoilize watu wote hapo juu wako wapi . upinzani wao umeishia wapi. yaani kumbe zile bashasha zote za jukwaani walikuwa wametumwa na ccm kufanya kazi. ndio maana baada ya mrema kuondoka NCCR nilichana kadi na sasa nipo neutral.

wazee mnaokumbuka makeke ya NCCR leteni data.


UPINDINZANI NI KIINI MACHO CHA CCM. KUWENI MACHO WADAU NA VYAMA VYA UPINZANI
 
The past....The History...The spilled water...the forgotten!

I believe in the future!
 
Muulize A Mrema akupe report ya kazi aliotumwa na Ikulu aliimaliza salama , ? aliiwasilisha kwa wakati.
 
The past....The History...The spilled water...the forgotten!

I believe in the future!
__________________
Whoever Knows Everything Is Expert In Nothing
 
WITHOUT PAST THERE IS NEITHER PRESENT NOR FUTURE.

I BELIEVE IN PAST,PRESENT AND FUTURE.

PAST- where i came from

PRESENT-WHERE IAM

FUTURE- WHERE A WILL BE

In order to have a better end you need to use this formula

PAST + PRESENT = FUTURE

in case of any thing missing there is no future
 
Back
Top Bottom