Safisha safisha ndani ya UVCCM

Safisha safisha ndani ya UVCCM

Mtoto wa nyoka ni nyoka.... Na paka ni paka tu, hata umwekee chakula kizuri kiasi gani akishamuona panya anakatiza mbele yake lazima atakiacha chakula na kumfukuzia panya tu.....
 
Kumbe kiwanja cha Ccm!!
Sibora hata hao wana viwanja
Cdm hata Shamba unaloweza kulimia mchicha tu
Hawana

Majipu wenzio NYINYIEM hicho kiwanja walikipata kwa njia zipi hasa ambazo ni halali??
 
Hakika ndovu haiwez zaa mbuzi na mti mchungu hauwez zaa sweet fruits the same tu ccm
 
DUH

MNANITISHAA SANAA MAANA DAS

DED

ZIMEJAAA HAWA WATU SASA TUTARAJIE NN WAENDAKO UWII
 
Baada ya UVCCM Taifa kukamilisha sakata la uuzwaji kinyemela kiwanja cha Iringa sasa imetupia macho yake Mkoa wa Mwanza wilaya ya Ilemela. Mwenyekiti UVCCM wilaya ya Ilemela ndg Kheri James atuhumiwa kuuza kiwanja no. 146 block A mali ya UVCCM kilichopo eneo la Pasiansi Mkoani Mwanza kwa kanisa la FPCT kwa thamani ya milioni sitini (Tshs. 60,000,000) mwaka jana. Uongozi wa UVCCM Taifa umemtaka kijana huyo aliyeanza ufisadi akiwa mdogo kurudisha mali UVCCM mara moja na hatua za kisheria na kinidhamu zitachukuliwa dhidi yake.
Walionunua wameliwa,huwezi nunua mali ya chama chochote bila kupita kwa wadhamini
Ndio maana lowassa akiwa mwenyekiti wa baraza la wadhamini,alitumia fursa,kwa kuingia mkataba wa miaka 100,kukodisha ardhi ya uvccm pale upanga/mnazi mmoja
 
Na wewe unajiita GT?
Mimi sijaona GT humu labda nitumie lughs ya Lissu kama wewe ni GT basi utakua toa neno dikteta weka GT halafu maliza sentensi ya Lissu. Ila nionavyo umejikita sana kwenye kundi la masai mara serengeti
 
Back
Top Bottom