Safisha safisha ndani ya UVCCM

Safisha safisha ndani ya UVCCM

Kanisa nalo kununua mali ya wizi! Kama kawaida yao
 
Kumbe kiwanja cha Ccm!!
Sibora hata hao wana viwanja
Cdm hata Shamba unaloweza kulimia mchicha tu
Hawana
CDM imeingiaje hapa Motochini?

Hivi ukiona thread inaitaja vibaya CCM huwa hamuwezi kabisa kutafakari hata kidogo jamani, hata kidogo?

Kufanya siasa na watu kama nyie maisha yanakuwa magumu mara dufu yaani.
 
Ulipaswa usome comments za hao vibendera kwanza kisha uropoke hayo
 
Nafikiri mwaka 2020 tutapunguza mazuzu kwa kiasi kikubwa
Nachoomba mwendo uwe huu huu watu waisome Namba kisawasawa hi kasi isipungue wajue kuwa mabadiliko ni kuiondoa ccm madarakani
 
Kumbe ufißadi chimbuko lake ni ccm kuna Mkubwa alisema atawachagua vijana hawali rushwa
 
Mtoto wa nyoka ni nyoka..huyo kijana anastahili pongezi....kumbuka ukiyakataa magamba umemkataa shetani period.
 
Back
Top Bottom