Sunbae
JF-Expert Member
- Sep 14, 2015
- 254
- 176
Baada ya UVCCM Taifa kukamilisha sakata la uuzwaji kinyemela kiwanja cha Iringa sasa imetupia macho yake Mkoa wa Mwanza wilaya ya Ilemela. Mwenyekiti UVCCM wilaya ya Ilemela ndg Kheri James atuhumiwa kuuza kiwanja no. 146 block A mali ya UVCCM kilichopo eneo la Pasiansi Mkoani Mwanza kwa kanisa la FPCT kwa thamani ya milioni sitini (Tshs. 60,000,000) mwaka jana. Uongozi wa UVCCM Taifa umemtaka kijana huyo aliyeanza ufisadi akiwa mdogo kurudisha mali UVCCM mara moja na hatua za kisheria na kinidhamu zitachukuliwa dhidi yake.