Je umeshaitathmini ndege inavyopaa angani na kutafakari uwezo/ubunifu wa binadamu au je kama wewe ni mkongwe uliwahi kutegemea kutakuja kutokea simu za kioo tupu (smartphones)
mwingine atakuambia hao ni freemason, mwingine utaskia wachawi hao, mara mwingine tena eliens hao, kumbe wakati ninyi mnawaza mapenzi na kuwangiana, wenzenu hawalali wanawaza na kubuni mateknolojia ya hatari.