Ngalangala
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 329
- 131
niende wapi sheikhe nipoNakusalim Mkuu! Upo humu jamvini? Duh!
niende wapi sheikhe nipoNakusalim Mkuu! Upo humu jamvini? Duh!
Hao wanaokuandikia kuwa nauli ni 29,000/= sijui wametoa wapi hiyo figure .Magari mazuri ni Machinga na Buti la Zungu zote luxury 2 By 2 nauli 22,000/= . Unatoka Dar saa 12 Asubuhi saa 8 Mchana upo mtwara .
Sehemu za kulala zipo safi kuanzia 35,000/= Lodge inaitwa Free park pia kuanzia 40,000/= Lodge inaitwa Agave sipo kwenye hali nzuri tu.
Miaka iliyopita, wakati usafiri wa kwenda kusini ilikuwa ni lazima upande meli hasa kipindi kama hiki cha mvua za masika, barabara ilikuwa ni ya vumbi kuanzia Mbagala hadi Mnazi moja Lindi, ilikuwa inachukua siku mbili hadi nne kufika Mtwara kwa basi.
Yapo maeneo korofi ambayo bado yapo kwenye kumbukumbu za wananchi wengi wa kusini. Moja ni eneo la kivuko cha mto rufiji, mara nyingi kivuko kilikuwa kinaharibika mara kwa mara, hivyo basi kwa bahati mbaya ndiyo umefika kivukoni mkakuta ni kibovu, basi mtakaa hapo hadi spare zifuatwe Dar na kuja kuzifunga mtapinga kambi hapo kivukoni kwa zaidi ya siku tano.
Eneo lingine korofi likuwa ni Nangurukuru chini kuna bonde kubwa la mpunga na barabara kipindi cha mvua ilikuwa haipitiki kabisa.
Ukifika Mtwara nyumba za wageni zilikuwa zinafanya biashara wakati wa msimu wa kununua korosho tu, msimu ukiisha na biashara ya guest house inasimama hadi msimu mwingine wa kununua korosho mwaka unaofuatia. Nyumba iliyokuwa inafanya kazi wakati wote wa mwaka ni Lutheran Hostel, nayo ilikuwa ni ya vyumba vichache.
Simulizi hizi nimezipata toka kwa jirani yangu mwenyeji wa Liwale.
Je unayo simulizi nyingine .........

Gesi..YEYE AENDE TU,ILAJUE KUWA ATAIACHA KULEKULE N'TWAARA..HAITOKI!
Naomba nikuongezee hii, kuna mtaa/kitongoji kinaitwa Mdenganamadi(Simply Mdenga), ni mtaa mzuri sana, wasela wote wa mji na wadada warembo huko ndo kwao, sasa ole wako upewe appointment ya kwenda huko kuanzia saa 12:30 jioni, ukikatiza tu ushakula ngeta!! hao wadada wanatumika, so ni muhimu uulize anaishi wapi, ukitajiwa hicho kitongoji fanya kila uwezalo kudivert hiyo appointment uende sehemu ingine, dont try it, ni hatari kwako!
kuna moja pia iliitwa tinga tinga ya mama mmoja wa kizungu ipo karibia na baharini kule bei zake ni nzuri tu sijui kama bado ipoKwa Hotel ukiwa Mtwara nenda OCEAN BREEZE LODGE-ni 20000 tu iko pouwa sana, bt mara nyingi huwa iinajaa!!
Nyingiine ni MANGOELA INN...Bei yake ni 40000 ipo sehemu nzuri sana ina utulivu!! Vinwaji na chakula ni available pia!!
Agave iko pouwa pia ina Bufee ndani!!
Free Park ni 40000 nayo ni nzuri sana...wewe tu
Welcome to Gas City Mtwara
Wewe umesoma nauli kwenye mabango mimi nimepanda machinga ijumaa iliyopita 22,000/= . Hawajaanza kutoza nauli mpya mpaka siku naandika kumpa taarifa za nauli alizohitaji. Hiyo Dolphine ni nzuri sana ila kwa swala la location ni zero lodge kuwa uswazi that much tena ya kiwango kile sio kabisa .Hizo bei za bus ni za zamani, mpya ndo hizo 26,000 kwa luxury bus, machinga na Buti la Zungu, Usafiri wa ndege ni bora na cheap, Precision air na fly 540 nauli zake ni kati ya 90,000 mpaka 120,000, just 45 minutes upo Mtwara na ndege zipo deile asubuhi na jioni!! Kuhusu kulala namshauri aende Dolphin lodge akaenjoy raha za mtwara, kama hataona Mikindani ni mbali basi akapoe The Old Boma apate upepo wa bakhari na akatafune pweza! Mtwara raha ati!!
Sawa mkuu, suala la nauli ni bora ajiandae kwa 26,000, ikiwa pungufu itamfaa mbele ya safari, hiyo 22,000 inategemea siku hiyo biashara ipoje, mimi nakumbuka kuna kipindi Novemba 2012 bei zilipanda sana hadi Tshs.28,000 sababu vyuo vilikuwa vimefungwa, so nauli ya 22,000 haitabiriki, Dolphin for sure ipo Uswazi, ila ipo katika kiwango!! Mkuu miaWewe umesoma nauli kwenye mabango mimi nimepanda machinga ijumaa iliyopita 22,000/= . Hawajaanza kutoza nauli mpya mpaka siku naandika kumpa taarifa za nauli alizohitaji. Hiyo Dolphine ni nzuri sana ila kwa swala la location ni zero lodge kuwa uswazi that much tena ya kiwango kile sio kabisa .
Nimesikia kidogo stori za ngende, ni kule watu huenda kutafuta utajiri na kupimiwa kwa punje za mahindi ?
Kuna hili bwana maarufu sana pale karibu na Idara ya maji linaitwa NABWADA, sijui bado lipo au wawekezaji washajenga kiwanda..
I really miss Mtwara sana
Nini hii isiyotoka
Chacha nawe chamaki nchanga unabicha; itatoka tuhaitoki!
itatoka!!haitoki!