Mahali ni pazuri ndugu wanapokaa wakipatana vyema na wakipendana.... I love you my daughters charminglady, sweetlady, WiseLady na bila kumsahau kaka yenu Davie S.M.... Me and your dad watu8 we love you dearly
mbona nilisikia machalii wa Chugga hula bata 24/7...
Hahahahaaa haya wala usijali ntakuletea ikiwa well packed
I love the song the same way i love you darling...
Hahahahaaa haya wala usijali ntakuletea ikiwa well packed
Huo ndio mzaituni dear........Niko poa sana.......karibu Chugga ule mizeituni..........
Kwa wale wana JF wa Arusha natarajia kuwa huko Kesho jioni na kesho kutwa........i wish ningemuona japo mwana JF mmoja
karibu A CITY.jiji dogo lakini bata zake usipime