Kuja kabisa........utatukuta tumejaa tele.......
Ila unakujaje ktkt ya wiki bana........?
Kwa wale wana JF wa Arusha natarajia kuwa huko Kesho jioni na kesho kutwa........i wish ningemuona japo mwana JF mmoja
katikati ya wiki huwa mwaenda wapi P?
Tunazitafuta sweetlo.......bila hivyo haya mabata tutashindwa kuyala ujue........
Safari njema mkuu... Mpe hi sana my lovely sis sweetlady mwambie ile suti alontumia imenikaa fresh kama niliumbwa nayo!!!! :smile: :smile:
Hahahahaaa zimefika wala usijali, ila nikirudi nakuja Mwanza niione kwa macho yangu ilivyokukaa
Mahali ni pazuri ndugu wanapokaa wakipatana vyema na wakipendana.... I love you my daughters charminglady, sweetlady, WiseLady na bila kumsahau kaka yenu Davie S.M.... Me and your dad watu8 we love you dearly