Safari za Maulid Kitenge mara kwa mara kulikoni?

Badala mtu aangalie na yeye anafanyeje kazi kuanza kuchunguza safari za mtu mwingine. How is thios of public interest? Kitenge si mwajiriwa wa serikali mpaka utake kujua anasafiri kwenda wapi? Mbona mnakuwa na mawazo ya ujima hivyoo?
 
Acheni tu leo hii ale hizo ' bata ' kwani tuliomjua tokea miaka hiyo akiwa ' mbwatukaji ' wa mambo ya mpira pale Uwanja wa Uhuru ilipo ile Baa maarufu ya kwa Chichi wala hatushangazi. Bila Mzee Charles Hillary Nkwanga bingwa wa kugundua vipaji vya Masuala ya Habari asingemuona pengine leo hii Maulid Kitenge sasa hivi angekuwa mpanga magari pale Shamba la Bibi ( uwanja wa Uhuru )
Ah jamani tuache uongo Maulidi alianzia kama mwandishi wa gazeti zamani,gazeti lilikuwa linamilikiwa na NUTA kama sikosei liitwa Mfanyakazi alikuwa pamoja na Hemedi Kimwanga mwandishi wa muziki na Mzee James Nhende pamoja na mbunge mmoja kutoka jimbo moja mkoani mwanza jina nimelisahau,si kweli kwamba aliokotwa na Charles Hilary,akiwa gazeti la Mfanyakazi alikuwa akishiriki sana kipindi cha kiti moto kilichokuwa kinaendeshwa na Pascal Mayala
 
Back
Top Bottom