Huyu jamaa mbona anasafiri sana nchi za watu? Kila siku ye yupo angani tu anabadilisha flights kama dala dala, mara UK, Sweden, south Africa, na mara nyingi zinakua safari binafsi, anapata wapi pesa zote hizo?
Nina ubuyu wake sijui niumwage tusherekee pasaka vizuri, lolAcheni tu leo hii ale hizo ' bata ' kwani tuliomjua tokea miaka hiyo akiwa ' mbwatukaji ' wa mambo ya mpira pale Uwanja wa Uhuru ilipo ile Baa maarufu ya kwa Chichi wala hatushangazi. Bila Mzee Charles Hillary Nkwanga bingwa wa kugundua vipaji vya Masuala ya Habari asingemuona pengine leo hii Maulid Kitenge sasa hivi angekuwa mpanga magari pale Shamba la Bibi ( uwanja wa Uhuru )
Miss Natafuta ....umetukalia uchi?.....wengine nye.ge zetu zipo kwenye macho...!!!anaenda kwa mkewe