Safari yangu ya Zimbabwe

James Hungury

JF-Expert Member
Jun 8, 2013
825
612
Wadau wana jf na watanzania wote habar,
Ninaomba msaada wa taarifa muhimu kwa wenyeji ambao wapo zimbabwe au kama uliwahi kuwa huko siku si nying,
Next week ninataraji kuelekea zimbabwe lakini sina taarifa zaid kuhusu maisha ya huko na taarifa kuhusu fulsa na mambo mengine ambayo yatanisaidi kukaa kwa usalama zaid.
Naombeni wadau wenye nia na moyo mwema mnifahamishe kama mtanzania mwenzenu,niwapo huko nizingatie yapi,thanks wadau
Nawasilisha
 
Ukifika Harare kodi tax ikupeleke Tanzania club, ni guest pamoja na restaurant ya mtanzania ambayo ipo kwenye jengo linalomilikiwa na ubalozi wa tz. Kama budget inakaba waambie wakupeleke no 11 Peterborough Avenue ni house share kama hostel ambayo wageni wengi hufikia. The cheapest place in Harare,.
 
Mkubwa ahsante sana,
Je una watanzania wanaoishi kule ambao unawafaham pengine,?kwamawasiliano nap nikifika wanaweza kuwa msaada kwangu katika kuishi kwangu huko.
 
Ukifika Harare kodi tax ikupeleke Tanzania club, ni guest pamoja na restaurant ya mtanzania ambayo ipo kwenye jengo linalomilikiwa na ubalozi wa tz. Kama budget inakaba waambie wakupeleke no 11 Peterborough Avenue ni house share kama hostel ambayo wageni wengi hufikia. The cheapest place in Harare,.
Uko sahihi kabisa.
 
Mkuu unaenda kutalii au kutafuta maisha?kama nikutafuta maisha ni bora ungeenda Botswana au Zambia kuna fursa za biashara na mzunguko wa pesa si haba, ila Zimbabwe umepotea kabisa ndugu yangu.
 
Mkuu na sikia ukienda uhamiaji ukiomba pasi ya kusafiria ya kwenda zimbabwe awakuulizi maswali mengi?
 
Back
Top Bottom