Mbona hayo yote ni ya kawaida vitu muhimu hujataja, kazi unao fanya usaili, mshahara kozi ilizo soma badaye nk......Habari wana JF
July 2021 nilikuja humu kwa wana JF nikiwa natafuta kazi Click here for the reference. Nataka kushare na nyie wadau mambo niliyojifunza katika utafutaji wangu wa ajira, pengine kuna mtu itamsaidia hasa sisi tusiokuwa na connection.
Kuna post ya mdau hapa JF niliiona ilikuwa inaelezea namna gani Linkedin inavyoweza kukusaidia kupata ajira, wakati huo mimi hata siijui linkedin. Ilibidi nianze kuifatilia Linkedin Youtube ili kujua namna gani ambavyo inaweza kunisaidia kupata kazi ya ndoto yangu. Baada ya kujiunga Linkedin Kitu cha kwanza kufanya nilianza kujiconnect na HRs, Managers CEO wa companies nazotaka kufanya kazi bila kusahau nilijiconnect na watu wa kada yangu. Kwa wakati huo huo natafuta kazi nilikuwa pia najisomea mambo ninayoyapenda katika Electrical Engineering ili ikitokea nimeitwa kwenye interview niwe tofauti na candidates wengine.
Nilianza kuwatafuta Inbox kila mtu niliyeona anaweza kunisaidia kupata kazi wakiwemo hao Managers, HRs etc. Kuna wengine wanakujibu na wengine wanapiga kimya. Sometimes inakatisha tamaa ila inabidi upambane tu. Kuna siku niliona message kwenye Inbox yangu, ile kuifungua tu nilikuwa nimeambiwa nimeiforward CV yako kwa Boss wangu (Mungu amlipe mema sana huyo mtu aliyenisaidia). Nilipata kazi kwenye hiyo company na ilikuwa ni international company na inadeal na mambo ninayoyapenda. Tokea hapo safari yangu ya ajira imekuwa nzuri sana. Hapa ninapofanya kazi ni company yangu ya 3+.
Mambo niliyojifunza:-
1. Kwanza Muombe Mungu sana kwenye safari yako ya ajira. Hili ni la msingi kuliko yote.
2. Kwa wanafunzi, Jitahidi ukiwa chuo usome kwa baidii, uelewe unachokisomea na upate GPA kubwa. Hii GPA kubwa inatakusaidia kuomba nafasi za Graduate program ambazo nyingi kigezo moja wapo ni GPA nzuri.
3. Hii pia ni kwa wanafunzi. Wakati unaenda field, jitahidi uchague sehem nzuri ya field ambayo utaweza kujifunza na kupata connection na usizembee kujifunza. Mimi ilinicost hii nilikuwa nachagua TANESCO halaf hata field siendi.
4. Ukishapata kazi jitahidi kujiongeza ujuzi ikiwa pamoja na kupata professional certificate. Hii itakusaidia kwenye kutafuta kazi sehem nyingine na kuendana pamoja na technology
Mengine ni namna gani unaweza kukua ki professional na mkwanja😀 ila haya yapo nje na mada.
Nawakaribisha wadau kwa kushare experience zenu. Zitatusaidia zaidi kukua.
Kwako yanaweza kuwa ya kawaida na kwa mwingine yasiwe ya kawaida.Mbona hayo yote ni ya kawaida vitu muhimu hujataja, kazi unao fanya usaili, mshahara kozi ilizo soma badaye nk......
Nimeandika MkuuCan you tell us moral of you story...?
Au mm ndo sjaelewa...?
haya yanatosha kutoka kwanguBinafsi nilitegemea kuona zaidi ya haya uliyoandika...
Asante. Ila kazi nilipata toka 2021.Nwei
Hogera kwa kupata kazi...
Asante MkuuSawa, safari yako ni nzuri
Asante sana kwa elimu hii nzuriHabari wana JF
July 2021 nilikuja humu kwa wana JF nikiwa natafuta kazi Click here for the reference. Nataka kushare na nyie wadau mambo niliyojifunza katika utafutaji wangu wa ajira, pengine kuna mtu itamsaidia hasa sisi tusiokuwa na connection.
Kuna post ya mdau hapa JF niliiona ilikuwa inaelezea namna gani Linkedin inavyoweza kukusaidia kupata ajira, wakati huo mimi hata siijui linkedin. Ilibidi nianze kuifatilia Linkedin Youtube ili kujua namna gani ambavyo inaweza kunisaidia kupata kazi ya ndoto yangu. Baada ya kujiunga Linkedin Kitu cha kwanza kufanya nilianza kujiconnect na HRs, Managers CEO wa companies nazotaka kufanya kazi bila kusahau nilijiconnect na watu wa kada yangu. Kwa wakati huo huo natafuta kazi nilikuwa pia najisomea mambo ninayoyapenda katika Electrical Engineering ili ikitokea nimeitwa kwenye interview niwe tofauti na candidates wengine.
Nilianza kuwatafuta Inbox kila mtu niliyeona anaweza kunisaidia kupata kazi wakiwemo hao Managers, HRs etc. Kuna wengine wanakujibu na wengine wanapiga kimya. Sometimes inakatisha tamaa ila inabidi upambane tu. Kuna siku niliona message kwenye Inbox yangu, ile kuifungua tu nilikuwa nimeambiwa nimeiforward CV yako kwa Boss wangu (Mungu amlipe mema sana huyo mtu aliyenisaidia). Nilipata kazi kwenye hiyo company na ilikuwa ni international company na inadeal na mambo ninayoyapenda. Tokea hapo safari yangu ya ajira imekuwa nzuri sana. Hapa ninapofanya kazi ni company yangu ya 3+.
Mambo niliyojifunza:-
1. Kwanza Muombe Mungu sana kwenye safari yako ya ajira. Hili ni la msingi kuliko yote.
2. Kwa wanafunzi, Jitahidi ukiwa chuo usome kwa baidii, uelewe unachokisomea na upate GPA kubwa. Hii GPA kubwa inatakusaidia kuomba nafasi za Graduate program ambazo nyingi kigezo moja wapo ni GPA nzuri.
3. Hii pia ni kwa wanafunzi. Wakati unaenda field, jitahidi uchague sehem nzuri ya field ambayo utaweza kujifunza na kupata connection na usizembee kujifunza. Mimi ilinicost hii nilikuwa nachagua TANESCO halaf hata field siendi.
4. Ukishapata kazi jitahidi kujiongeza ujuzi ikiwa pamoja na kupata professional certificate. Hii itakusaidia kwenye kutafuta kazi sehem nyingine na kuendana pamoja na technology
Mengine ni namna gani unaweza kukua ki professional na mkwanja😀 ila haya yapo nje na mada.
Nawakaribisha wadau kwa kushare experience zenu. Zitatusaidia zaidi kukua.
Mkuu, umeelewa kilichoandikwa?Uchoyo tu, ndio umeandika nn? Kuna kijana hasali?
KaribuAsante sana kwa elimu hii nzuri
Mchoyooooooo. Kaa na kazi yako, vijana watapata tu.Mkuu, umeelewa kilichoandikwa?
Pole mkuu, huenda una stress. Ngoja nijitahidi kukuelewa tu.Mchoyooooooo. Kaa na kazi yako, vijana watapata tu.
Asante kwa comment yako.Umeishia kututambia tu.
Nina stress sana.Pole mkuu, huenda una stress. Ngoja nijitahidi kukuelewa tu.
Sina connection Mkuu.Na mimi naomba kibarua mkuu
Pole.Nina stress sana.
We ndo connection mkuu...Sina connection Mkuu.