Safari yangu ya South Africa

Safari njema mkuu. Mungu akafanye sawa na maombi yako.
 
Kama umetokea magomeni huwezi kukosa wa kukupokea SA mkuu labda uwe umeondoka kimya kimya
Mpango WA kupokeana sitaki nimetoka peke yangu nakwenda na Bahati yang, wengi walioko huko wanajihusisha na vitu haramu
 
Feed back muhimu katika kila hatua me pia nina mpango huo
But me i wanna use rat way
The most dangerous way in the entire world..pambana tu hapahapa utatoboa! Haraka yanini mkuu?
 
Karibu mkuu, uko sawa usipende kapani za Wabongo watakusababishia matatizo. Siku ukitaka kuvuka Botswana pitia North West Province (Mafikeng)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…