Safari yangu ya South Africa

Kuna mwenzako alienda mwaka jana akitokea babati to South Africa
Safari ya South Africa ndio nimeanza
Baada ya kufika akatoa feedback hapa
Mrejesho wa safari yangu ya South Africa
Baada ya muda akatupa tena updates hapa
South Africa msije Sio kuzuri
Kwahiyo unaweza kujifunza vitu viwili vitatu kwenye nyuzi zake hapo juu
Nikutakie safari njema
 
Africa hii hii sishauri ukaenda nchi yoyote. Heri ukaenda nchi za ulaya maana south kwenyewe kuna vijana kibao jobless ukienda na wewe kuongeza ushindani hawatakuacha salama
 
Bone voyage Mkuu, Lusaka kuna shida ya shiling exchange vizuri ukawa na kwacha ya kukutosha ukiwa Zambia
 
mkuu niko Durban ukiwa natatizo lolote nitafute
 
Mwenzio Shibe kijijini alifika kama leo kesho yake akatekwa!.Shauri yako
 
Kuna mmoja alikuja na hiz mbwe mbwe sijui yupo WAP yule mshikaji
 
Kiswahili chako kinaonekana kweli uliishia la saba, pole sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…