Safari yangu ya Kongo na kula nyama ya Nyau

....kichwa cha habari kinasema habari ilikuwa kuhusu mkuu kula nyama ya nyau kongo, badala yake imekuwa ya maelezo meengi yasiyoaminika!!!
...mhudumu, hebu niongeze chapati lingkne hapo nimalizie hii Chai!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo kipengele cha kula nyau hukukiona?...pale nilipolala baada ya kula ugali nyama,nikaota niliposhtuka kuzunguka zunguka nyuma ya nyumba nikakuta ngozi na kichwa cha nyau mweusi.....sio chai true!!,mnataka kipengele kimoja tu kama bongo mvi.!
 
....kichwa cha habari kinasema habari ilikuwa kuhusu mkuu kula nyama ya nyau kongo, badala yake imekuwa ya maelezo meengi yasiyoaminika!!!
...mhudumu, hebu niongeze chapati lingkne hapo nimalizie hii Chai!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu lichapati lingine ukilila na nyama ya nyau ni mautamu ya kufa beki kufa kipa!!
 
Wengine tumezoea chai ya tangawizi na maandazi ya kupambia... Sasa chai kavu kama hivi!
tapatalk_1584794094144.jpeg
Nakusaidia

ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹
 
Umetuletea chai bila vitafunwa, ndio maana nimekuletea vitafunwa hivyo kwenye tenga!

ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹
👏👏 sema nini,ni huwa natumia machapati kama Yale ya kwenye picha ya yesu kwa ukubwa unakuta mgalatia analikandia kwenye goti😂😂
 
Back
Top Bottom