akya nani😂😂😂😂Apia mkuu kama ni uji...!!!!
swadaktaa af ikianza kuungua ndo unaweka maji basi hiyo harufu yake duhh😂😂😂😂nilipoona habari imeanza kwa kusimulia habari za chabo za 'J' kwa muda mrefu, tena chabo zenyewe za kizembe hivyo kwa mtu aliyeenda kutafuta maisha, nikajua hii ni chai ya kuuguza kabisa......yaani majani hakuna na hivyo sukari inakaangwa yenyewe na kuungua na kugeuka rangi ya majani ya chai (wakongwe wenzangu mtanielewa hapa)!
Hamna chai,sema J ndivyo alivyo masihara mengi kwenye maisha...nilipoona habari imeanza kwa kusimulia habari za chabo za 'J' kwa muda mrefu, tena chabo zenyewe za kizembe hivyo kwa mtu aliyeenda kutafuta maisha, nikajua hii ni chai ya kuuguza kabisa......yaani majani hakuna na hivyo sukari inakaangwa yenyewe na kuungua na kugeuka rangi ya majani ya chai (wakongwe wenzangu mtanielewa hapa)!