Safari yangu ya dhahabu Botswana

Mkuu mambo kama haya unayoandika yametuvurugia sana story nyingi zenye mafundisho mazuri kwa kukatishwa juu kwa juu.

Mimi nashauri tuwe wavumilivu tumwache mleta mada aandike story yake kwa style yake anayoweza yeye. Styles za uandishi haziwezi kuwa sawa na pia mimi ni msomaji wa novels na nakuambia kuwa waandishi wengi ni wazuri sana katika ku describe minor details wanapozungumzia mandhari fulani au eneo fulani au kitu fulani. Na humfanya msomaji kuburudika kwa kujenga picha kama anaona kinachoelezewa.

Sisi tusome tu na kama kuna hoja au swali la msingi ndio tuulize.
 
Daah Bosco R.I.P mjomba wangu mzee wa dancing
 
Nimekupata mkuu, ngoja nitulie kwa password
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…