Safari yangu ya dhahabu Botswana

Sasa naona dalili zile za kula matunda kama akina Tanya....

Hivi wanaozamia wote walikula matunda ya wenyeji?
 
Mtoa mada ndo anatakiwa ajifunze..Kama nilivyosema hawa watu hata ufanye nn hawawezi kuisha humu..Ni jukumu lako kujua unaishi nao vipi..

Ni kweli ulivyosema kuwa tuna personalities tofauti tofauti..Ukijua hilo watu hawatakusumbua humu..

Huwezi kusema hadhira haitoi ushirikiano wakati waliotaka story iendelee ni wengi ukilinganisha na wale wakosoaji..

Jamaa mwenyewe tu kaamua kuleta pozi..
 
Wewe unaweza kuona ni rahisi lakini hujui jinsi hizo kosoa kosoa za kijinga na ujuaji unavyoweza kumuathiri mtoa mada na kuishia kuona bora aache kusimulia.

Ninakuelewa, asilimia kubwa kwa kila unachokifanya kuna watu watajaribu kuharibu focus yako, kukutoa kwenye reli.

Ni wakati huo ambao strength yako inapimwa, ikitokea wakafanikiwa kufanya hivyo, basi ujue hukuwa tayari kufanya ulichotaka kufanya.
 
Yeye kabla ya kuleta story yake alipanga iweje mbona hakuuliza alete story au asilete.

Atulie kwenye kile alichokipanga mwanzo ndo aendelee nacho. Hii kuyumbayumba na kukosa msimamo sio kabisa aisee.

Story ni yake akiileta jf ni yetu sote.
 

Tukiwa wadogo kuna style ya uchoyo tulikuwa tunafanya, mfano una embe au muhindi, unauficha halafu unamchokoza rafiki yako, aki-react unasema nilitaka nikupe embe/muhindi ila kwa sababu umenitukana sikupi tena.

Huyu ndicho alichotufanyia, kachelewa kupost kadri alivyotujulisha, watu wamemchana eti anakuja na hizi swaga za stori iwe fupi.
 
Hawa ndo wakuwapa ban tu
Jamaa boya kwel[emoji57][emoji57][emoji57]
 
Teh teh..Hizi story mtu angekuwa anashusha mzigo wote then ndo anaanza kudeal na comments za watu..Story zingekuwa zinaisha fasta..

Ukianza kudeal na comments za watu ni rahisi kutolewa kwenye reli..Utajikuta hata unapindisha story yako au kuweka uongo ili kuridhisha watu..Mwisho wa siku unahama kwenye uhalisia wa story yako na kuanza kutungatunga vitu..Hapo ndo mwanzo wa episodes kuchelewa..
 
Muendelezooooooooooooooo

SEHEMU YA SITA

Mmeviiiiiiimba dadeq zenu na sileti ng'oooooooooooooooooooooooo
Mtalimia meno

Kama vipi twende zetuni kule kwa rikiboy tukachabo mautamu
Alaaaa
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Ndio shida za stori za JF nilijua hili litatokea mtu kukosoa kawaida But negative comments 2 ushazira haifai mwaka stori.Kuna jamaa Aliweka stori jinsi alivyonusurika kuuawa South alienda straight hakuna blabla.Amua tu kiume stori imeisha au unaiendeleza simple

 
andika kwa urefu "no hurry in jamii forums"
 
"Kama nyie mnampangia............. "

Ndugu wapi mie nimempangia au kuna sehemu gani nilitoa kauli achaplishe kuandika ama kufupisha!?
 
Siku hizi Jf imekuwa kijiwe cha watu wasiostaarabika kabisa. Ukishaona watu wanashindwa kuvumiliana,ustaarabu nao haupo. Mtu analeta stori yake lakini watu wanampangia hadi muda wa kuileta pasipo kujua yupo katika mazingira gani. Wewe kama bado kula kulala siyo kila mtu yupo hivyo,wengine ni wahemeaji. Nina uhakika kuna wengi walitaka kuleta stori humu lakini hadhira imekaa kihunihuni sana.
 
Acheni ubwege baadhi ya watu humu. Hivi hamuwezagi kutulia hata kwa kidogo? mwanaume mwenzenu anatoa story lakini nyie wanaume ndo wakwanza kumzonga zonga kama vipi si muanzishe zenu?? Yani mnakera mnoo sisi tunataka kila kitu asiache hata kama alikohoa sehemu aseme alikohoa. Kuna vitu vinasisimua kama story zile za kule kwao kabla hawajaondoka. Hebu mtupishe mnawashwa kama mmetiwa pilipili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…