Makinyashi humuone uko ?Nata kuona nyemi
Unajua unga wa ngano wanaitaje huko?Unga wa mahindi nilibeba kilo tano, ingawa wa ngano upo sokoni
Wapishi wakubwa kwenye mikahawa ni wanaume
Bora hata mkubaliane bei fixed maana akiwasha mita lazma akuzungushe njia ndefu kama hujui unapoenda. Wahindi wanapenda sana pesanilikuwa hyderabad hitech city mwaka 2013... kwenye bajaj ukumbuke kumkomalia dereva awashe mita... wana tabia ya kujifanya mbovu akubambike bei
Bora hata mkubaliane bei fixed maana akiwasha mita lazma akuzungushe njia ndefu kama hujui unapoenda. Wahindi wanapenda sana pesa
Kuna siku aliniibia hivyo, nilimwbia unajua kikubwa niko salama hela inakuja na kuondoka alijisikia vibaya sanaBora hata mkubaliane bei fixed maana akiwasha mita lazma akuzungushe njia ndefu kama hujui unapoenda. Wahindi wanapenda sana pesa
Kuna siku moja jamaa alinitajia bei fixed nikambishia awashe mita kilichofuata ni majanga.akiwasha mita hata kama akikuzungusha inakula kwake pia.. sababu faida iko kwa parcent iliyosetiwa kwenye mita... hii ndio maana wengi hawataki kuwasha mita.. wanasingizia mbovu...
ingekuwa kukuzungusha kunawalipa.. wasingjifanya mita mbovu.. wangekuwa wanakuzungusha tu... nimekaa india sana najua nachokiongea
Kuna siku moja jamaa alinitajia bei fixed nikambishia awashe mita kilichofuata ni majanga.