Safari ya Songea

Safari ya Songea

Umepanda tavavili au baraka classic?

Siku ukipanda ya kigoma utafungua nyuz buku. Watu wa kule siti 1 wanapakatana ukoo mzma, wanavyungu vya ugali. Ukifka nguruka wananua ugali aka lwome na samak wa malagarasi wanaanza kufakamia kama wapo hh. Wanakatiana vichwa vya samak wanapeana.
Wanatafuna huku wanabishana, wanatafuna na kuachama na vyakula mdomon na ugoro na mipombe
Noma.
Hahaha jamani,
Yaan simulia yako imenipa picha moja matata Kama na check movie!!
 
Nimepanda basi la Songea. Ni New force linapitia mikoa ya kusini.

Kilichonishangaza nikuona abiria wenzangu karibia 10 wamenunua maembe pale Mbagara na kuanza kuyafakamia.

Huyu dada niliekaa nae pamoja na kuwa sista duu nae yuko bize na maembe yake kutafuna na kutema maganda nje ya kioo. Nyie wangoni kwani huko Songea hakuna maembe? Halafu hii tabia ya kula vyakula hovyohovyo mbona kama imekaa kishamba sana?

Kama ni njaa, maembe yanatibu njaa? Kwanini usivumilie mpaka Nangurukuru kwenye restaurant ukapate breakfast.

Nimesafiri sana na mabasi ya kaskazini, Iringa, mpaka Mwanza sikuwahi kuona abiria wakila maembe tena kwa kung'ata na meno ndani ya usafiri wa umma.
Kwanza hao wangoni,Wasukuma na waha ni wachafu
 
Kung'ata na meno
 
Uliwapa hela au wanatumia hela zao?
 
Yani unampangia mtu bajeti kheee
 
Hiyo njia ina Majabari ya hatari hiyo miamba nakwambia Mwanza ikasome. Masasi to Tunduru hadi Songea mwendo wa kupishana na MALORI YA MAKAA YA MAWE KILA KILOMITA Kadhaa mlori huu hapa.
Ndiyo maana siipendi hiyo njia,hasa kwa usiku si salama,malori ya makaa yanaserereka tu.
 
Njia hiyo hakuna huduma nzuri kama za chakula kwa wasafiri wapata shida sana.
Wanategemea Nangurukulu tu hapo kwa kujua hilo ndiyo mana wenzako walikua wanajihami mapema mnaweza kusafiri mwanzo hadi mwisho bila kupata huduma ya chakula sehemu.
 
Songea huu ndio msimu wa maembe hao watakuwa wanyasa
 
Nimepanda basi la Songea. Ni New force linapitia mikoa ya kusini.

Kilichonishangaza nikuona abiria wenzangu karibia 10 wamenunua maembe pale Mbagara na kuanza kuyafakamia.

Huyu dada niliekaa nae pamoja na kuwa sista duu nae yuko bize na maembe yake kutafuna na kutema maganda nje ya kioo. Nyie wangoni kwani huko Songea hakuna maembe? Halafu hii tabia ya kula vyakula hovyohovyo mbona kama imekaa kishamba sana?

Kama ni njaa, maembe yanatibu njaa? Kwanini usivumilie mpaka Nangurukuru kwenye restaurant ukapate breakfast.

Nimesafiri sana na mabasi ya kaskazini, Iringa, mpaka Mwanza sikuwahi kuona abiria wakila maembe tena kwa kung'ata na meno ndani ya usafiri wa umma.
Usipo Kuwa na pesa shida Kila anacho kufanya mwenzako niushamba
 
Back
Top Bottom