Una experience ya vi ushuzi vya wadada mkuuSubiri Sasa vijambo vyake,kila akijamba utamuona anajifanya bize kufungua pochi yake kumbe anaachia kombora hapo.
Private jet zipo kwa ajili yenu mkuuNimepanda basi la Songea. Ni New force linapitia mikoa ya kusini.
Kilichonishangaza nikuona abiria wenzangu karibia 10 wamenunua maembe pale Mbagara na kuanza kuyafakamia.
Huyu dada niliekaa nae pamoja na kuwa sista duu nae yuko bize na maembe yake kutafuna na kutema maganda nje ya kioo. Nyie wangoni kwani huko Songea hakuna maembe? Halafu hii tabia ya kula vyakula hovyohovyo mbona kama imekaa kishamba sana?
Kama ni njaa, maembe yanatibu njaa? Kwanini usivumilie mpaka Nangurukuru kwenye restaurant ukapate breakfast.
Nimesafiri sana na mabasi ya kaskazini, Iringa, mpaka Mwanza sikuwahi kuona abiria wakila maembe tena kwa kung'ata na meno ndani ya usafiri wa umma.
Sijui kama ntacheka leo kama hivi dah...🤣🤣🤣Umepanda tavavili au baraka classic?
Siku ukipanda ya kigoma utafungua nyuz buku. Watu wa kule siti 1 wanapakatana ukoo mzma, wanavyungu vya ugali. Ukifka nguruka wananua ugali aka lwome na samak wa malagarasi wanaanza kufakamia kama wapo hh. Wanakatiana vichwa vya samak wanapeana.
Wanatafuna huku wanabishana, wanatafuna na kuachama na vyakula mdomon na ugoro na mipombe
Noma.
Umepanda tavavili au baraka classic?
Siku ukipanda ya kigoma utafungua nyuz buku. Watu wa kule siti 1 wanapakatana ukoo mzma, wanavyungu vya ugali. Ukifka nguruka wananua ugali aka lwome na samak wa malagarasi wanaanza kufakamia kama wapo hh. Wanakatiana vichwa vya samak wanapeana.
Wanatafuna huku wanabishana, wanatafuna na kuachama na vyakula mdomon na ugoro na mipombe
Noma.

Nipo town songea,fanya mpango wa dagaa wa nyasaKwasqbabu huku songea maembe yetu ni si matamu kama yq huko,
Kule safarini inategemea binafsi nikisafiri kutoka kwetu chai nitakunywa njombe au makambako, mchana nitakula Iringa.
Mkuu huyo ni mungoni pyua kabisa ndio ongea yao hiyo,mm nimeishi huko nawajua vizuri usimulaumu bure.Ulitakiwa uandike hivi; wewe sema tu hauna hela ya kununua hayo maembe!!!
😂😂Umefanya sikuyngu ianze vizuriUmepanda tavavili au baraka classic?
Siku ukipanda ya kigoma utafungua nyuz buku. Watu wa kule siti 1 wanapakatana ukoo mzma, wanavyungu vya ugali. Ukifka nguruka wananua ugali aka lwome na samak wa malagarasi wanaanza kufakamia kama wapo hh. Wanakatiana vichwa vya samak wanapeana.
Wanatafuna huku wanabishana, wanatafuna na kuachama na vyakula mdomon na ugoro na mipombe
Noma.
😂😂😂kichwa chako
Naona umerudi kwa kasi
Ah wapi...!Naona umerudi kwa kasi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wesema aunaela yakununua ayo maembe
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Umepanda tavavili au baraka classic?