Safari ya singles/divorces to nairobi & kampala

Safari ya singles/divorces to nairobi & kampala

mtoa mada umelipia tangazo lako? Naona unapiga promo ya kampuni yako
 
Imeandikws,usimuache mume wa ujana. Nikajua dengue imekukimbiza mjini.

Miss u sana, tukutane torabora

nimehamishwa torabora. niko huku sudani ya kusini. nakusubiri kwa hamu mke wa ujana wangu na sukari ya odm.

jiandae kupata mimba.
 
Kampuni ya nani hiyo i.e mmiliki?? ofisi ziko wapi? mnesajiliwa??
 
Napenda kukuambia kwa niaba ya moyo wangu kuwa nimekumisi sana.

Nipo hommie wa umbuje.
Nachakarika kujaza kibubu nichangamkie safari ya kwenda kutafuta mwenza mie.
 
Kweli hali ngumu! Ina maana wenzi wameisha kbs......! Naona bora sheria ya ndoa ya wake weengi iingie bongo! Itasaidia kuwaokoa wadada wazuri wenye vigezo vya kuolewa lkn sheria inawabana!
manake unakuta mdada ana kila kitu, ila kichwa kinamuuma hajaolewa! Naomba katiba mpya izingatie hili
 
Ikifika safari ya kwenda Mauritius na Shelisheli mnishtue, naweza kwenda. Ila sio kwa hao majirani weusi tiii

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Back
Top Bottom