Safari ya singles/divorces to nairobi & kampala

Safari ya singles/divorces to nairobi & kampala

connections

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
2,842
Reaction score
3,924
Kampuni ya Connections Ltd. inaandaa safari ya kwenda Nairobi mpaka Kampala kwa Singles& Divorced anaetaka kupata mwenza toka Nairobi na kampala. Safari imepangwa kuwa mwishoni mwa mwezi juni 2021 tutaondoka 20/06 na kurudi dar 24/06 nauli ni 150,000 Tsh. (kwenda na kurud) na malazi kampuni italipia.
*Uwe na kadi ya Yellow fever na Korona.
 
Aah jamani!! Naweza opoa mchepuko wa lami huko?
 
Kampuni ya Connections Ltd. inaandaa safari ya kwenda Nairobi mpaka Kampala kwa Singles& Divorced anaetaka kupata mwenza toka Nairobi na kampala. Safari imepangwa kuwa mwishoni mwa mwezi juni tutaondoka 20/06 na kurudi dar 22/06 nauli ni 150,000 Tsh. (kwenda na kurud) na malazi kampuni italipia.

Asiye na nia ya kupata mwenza huko hastahili kwenda?
 
wewe tena! Lazma upate habari kamili shosti wangu. Kuna kampeni za tohara zinaendelea, magovi yasije yakaisha bure kabla cjafaudu.

Hizo kampeni zinankeraaa hawatushirikishi wanawake kuchukua maoni yetu
wakati sisi ndo watumiaji agggrrr
mi sitaki yatokomezwe bana
 
Back
Top Bottom